Siungi Mkono Kujengea makaburi

Siungi Mkono Kujengea makaburi

Kupitia huu uzi,nmegundua kumbe wajinga bado ni wengi mnoo. Wacha CCM iendelee kutuchalaza.
 
Ukiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Kufa ni kufa tu mtu akisha tokwa roho thamani yake imekoma kujengea kusafirisha ujinga mtu hiweje inasafirisha na kujengea mzogo husio na thamani
 
Wengine wana amini Kaburi ni nyumba ya marehemu. Nyumba lazima iheshimiwe haiwezi kuachwa katika mazingira mabovu

So lazima itengenezwe katika hali mzuri iwe na muonekano wa kuvutia.

Lakini pia kutengeneza unique kwa ajili ya utambuzi maana siku hizi makaburi yamefanywa kumbukumbu.

Yani sehemu yenye makaburi zaidi ya 2,000 ni ngumu sana kuweza kujua kaburi la ndugu yako iwapo makaburi yote yatakuwa ya udongo.
Ukijua kaburi la ndugu yako mzazi wako lilipo linakusudia nini?au unataka kuliabudu na kutabika
 
Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndio kusema unapata baraka kutoka kwa mzogo uliokufa miaka kenda hiliopita,nisawa na mtu alieko uraiyani kwenda kumuomba msaada mfungwa mtu hakisha kufa Kawa mzoga hana uwezo tena wa kumsaidia aliehai kama angekuwa na uwezo huo asinge tukiwa kwenye shimo agatoka akaja kuishi na wapendwa wake iweje wewe akupe baraka?
 
Kufa ni kufa tu mtu akisha tokwa roho thamani yake imekoma kujengea kusafirisha ujinga mtu hiweje inasafirisha na kujengea mzogo husio na thamani
Hiyo ni imani mkuu, nikama zilivyo dini
 
Ukiwa mvivu na mnyimi/mchoyo Kila kitu cha kijamii utajoji na utaona kama wanakuibia.Lakini ukiwa mchapa kazi na usiye na roho ya uchoyo utaunga mkono Yale yanayofanywa na jamii kwa mantiki ya kuleta umoja na mshikamamo[emoji2]
Hapo hakuna cha jamii wala mashirikiano haiwezekani uchangie kujengea mzoga au kusafirisha hiyo hela si bora utumie na wapendwa wako itakayo salia utie kifurushi ubadilishane mawazo na wanajamii f
 
Hapo hakuna cha jamii wala mashirikiano haiwezekani uchangie kujengea mzoga au kusafirisha hiyo hela si bora utumie na wapendwa wako itakayo salia utie kifurushi ubadilishane mawazo na wanajamii f
Hata lugha unayotumia inaonesha hujali utu binadamu hatuiti mzoga tunaita mabaki/remains au kaburi kwa wanaozika au kujenga.
 
Back
Top Bottom