Kura 500 anagombea nini kumtofautisha na wizkid?Category ya diamond haina mass voting ina kura 500 tu za watu maalumu.
Hapa umekutana na gogo aswa, hiyo ni tuzo ya BET kama tuzo nyingine, na kwa taarifa hiyo tuzo Ata yule mcheza filamu wa Nigeria anaitwa Falz alishachukua, hapa hatubahatishiAkili yako ndogo sana. Sometimes panua akili yako iwe kubwa kama mdomo wa boss wako
Ahahahahaha kumbe sio hoja ni mahaba tu, ili tumelichukua, maana kama ni hoja Aina pakushikiaHakuna ubaya wowote...ndiyo demokrasia yenyewe. Kila mtu anaamua lile analoliona ni jema kwake.
Just like Diamond mwenyewe alivyoamua kumkumbatia Mtanzania Magufuli na kumshutumu Mtanzania Lissu. It was his choice. Wacha na wengine nao wafanye choices zao!
Ni kawaida ya nyani kuto kuliona kunduleNa ndio maana imekua ngumu kuwapuuza kwasababu mpaka wapambe nao wana midomo
Falz ni mcheza filamu zipi ?Hapa umekutana na gogo aswa, hiyo ni tuzo ya BET kama tuzo nyingine, na kwa taarifa hiyo tuzo Ata yule mcheza filamu wa Nigeria anaitwa Falz alishachukua, hapa hatubahatishi
Akipata maraehemu atafufukaSafari hii hapati kitu, tuzo ya Diamond hii
Lila mtu anaju harmonize ni mentalcaseMkuu mbona Ata Konde boy alitoa nyimbo tamuu ya kumsifia Magufuli, vile vile amechora tattoo ya Magufuli mguu, vile vile alilia Instagram live, au mna muacha kwanza mpaka apate nomination BET ndio hasira zenu zinakuja?
Na kwanini utaabike kulliangalia wakati lipo?Ni kawaida ya nyani kuto kuliona kundule
Ni mcheza filamu kutoka nchini Nigeria kazi kwako kumtafuta, BET ni tuzo kama tuzo zingine za BET, kama unafikiri ni rahisi chonga zako na wewe uwape wasanii wakoFalz ni mcheza filamu zipi ?
BET viewers choice ni kituzo koko cha kuchonga tu. Brand BET isikufanye ukazaa kwa uchungu kila mwaka. Hiyo tuzo haina tofauti na tuzo za Hbaba, wanapewa wasanii wenye matiti
Mnataka kumtoa harmonize akili ili mpate unafuu kwenye hoja zenu? hilo halitokaa litokee, harmonize ni timamu kabisa anacho fanya ni kwa matakwa yakeLila mtu anaju harmonize ni mentalcase
Muhimu Ata asipoliangalia tunajua analo kubwa tuu, ndio maana tunakula nae sahani mojaNa kwanini utaabike kulliangalia wakati lipo?
Nyie hamjui akiba na ndio maana mnatazama salio
Hujui kusoma. Ndio maana umegeuka msukule. Kasome tena KKK.Ni mcheza filamu kutoka nchini Nigeria kazi kwako kumtafuta, BET ni tuzo kama tuzo zingine za BET, kama unafikiri ni rahisi chonga zako na wewe huwape wasanii wako
Hawa ndio washindani wake sio wale wauza pweza Alikiba na yule Mmakonde ahahahahahaAkipata maraehemu atafufuka
Uandishi ni kosa la kinadamu,hilo halina tatizo ndio maana mda wote umekosa kosa hilo, halafu sio Kusoma humu JF tunaandika atusikilizishani sauti ahahahahaha Bila shaka hoja zimekuishaHujui kusoma. Ndio maana umegeuka msukule. Kasome tena KKK.
Domo anashinda hapa, hakuna wa kumsumbua hapo, Ata vyama vyote mpaka CHAUMA vikiunganaTusipangiane lazima domo tumlaze chali.
Mahaba ni demokrasia 100%.Ahahahahaha kumbe sio hoja ni mahaba tu, ili tumelichukua, maana kama ni hoja Aina pakushikia