Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Hao Wahuni (and by wahuni I do not mean hao vijana ambao wamehangaika kwa wazazi wao kuuza mashamba yao kuwapa elimu na kujikuta hawana shughuli za kuhakikisha ujira wao) naamanisha walamba asali na manyangau ambao wamejishahau na kushindwa kutunga sera nzuri za kuhakikisha watu wana guarantee ya basic needs zao.... Wahuni hao wamekuwa na kejeli na wamesahau msemo wa kujua kula na vipofu...,

Hakika mwisho wa wahuni hao utafika sababu like wildfire mambo haya huwa yanahama nchi kwa nchi hususan kipindi hiki dunia ishakuwa kijiji.....

Nawashauri sana ili tusipate ya French Revolution they need to be humble and rethink how this large cake which is currently eaten by the few can reach the majority (at least the crumbs or left overs) as of now wabangaizaji wanaambulia dhihaka na kejeli
 
Kuna kitu haujui. Wananchi wakiamua jambo hata jeshi linakaa pembeni. Sio kwamba ni dhaifu isipokuwa madhara ya kujaribu kuwazuia ni makubwa kuliko kuwaacha wafanye jambo lao.

Niambie, unaweza kuwafyatulia risasi watu elfu 10 uwaue wote. Unafikiri umoja wa mataifa utakaa tu unakuangalia. Kuna nchi zimekaa huko wanasubiri ujichanganye tu wapate sababu ya kuingiza majeshi. Case study Libya, Iraq, Iran, Guatemala walijaribu kufanya hicho unachowaza wewe. Siku ukikaa na mjeshi yoyote yule kirafiki tu muulize nini kitatokea Raia wote wakiingia kuandamana wanaelekea ikulu. Mtawalipua wote au mtawafanya nini halagmfu usikie jibu lake.

Uongozi unahitaji busara sio kila jambo unapanic utakula mabanzi na mabeberu hadi sio poa.
 
Walamba Asali somo linawaingia mdogomdogo
 
Bajeti ya ulinzi ya Marekan ni dola 700 bill ndiyo yenye ulinzi mkubwa dunian lakin raia waliingia bungen na viunga vya white house. jeshi la Marekan nalo ni dhaifu?
 
Umepoteza muda wako bure kumuelewesha kundi la mafisadi limelewa kwa upigaji kiasi wanajiona hawaishi katika dunia hii haya machungu tunayopitia raia huku kitaa wao wanayaona kwenye bongo movie ndio maana mtu anashangaa maandamano
 
Akili zako zinakutuma wapigwe risasi tu, hovyo kabisa wewe
 
Tafsili yako ni mbaya, maana yake jeshi la Police la Tz ni katili na halijui mipaka yake. Ni jeshi linalo Linda viongozi kuliko wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…