Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

[emoji81]kenya hawana wale jamaa wenye ma miwani na kaunda suti waiokoe siwa
 
Tulia wewe maiti wagonjwa wawaonyeshe kuwa wamepona
 
Kila mara wanasema Mzee Odinga anahamasisha vijana waandamane kupora mali - haya sasa mmemuoma Odinga akihamasisha mstari wa mbele.

Nasikia nyumba wa wabumge waliopiga kura ya ndiyo zinachomwa moto
 
Unaifahamu nguvu ya umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…