Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

jeshi limeagizwa kuingilia kati ujue muandamanaji kibabe akijitokeza atakula za uso. Sasa tuone kama watakabiliana na jeshi lao
 
Hata bunge lenye spika chawa linaweza kuingilika kama Kenya. Wewe unajua waandamanaji walikuwa wangapi? Hapo unakuta polisi walikosa cha kufanya kwa ajili ya usalama wao wenyewe kwanza. Waandamanaji wenye hasira kali wanaweza kukudhuru unajiona. Sasa wewe jifanye jeuri ufyatue risasi wakutie kibiriti.
 
Huwez linganisha bunge la tz na la Kenya Tanzania utapigwa sana
bunge la tanzania lina security tight imara huwezi kuingia kiholela. Mbunge mwenyewe tu ndani akileta fujo anadhibitiwa. Nje ya ukumbi wa bunge kuna askari wa kutosha. Waandamanaji wa kenya wamedhalilisha bunge lao, hawana adabu na heshima kwa vyombo vyao vya maamuzi ya nchi yao, ni wahuni
 
Kijana hataki mchezo huyo ,ila baada ya matukio haya wabunge wa kenya wanaweza anza kubadilika na wanaweza anza kuleta maendeleo katika nchi maana wanaona vijana hawataki mchezo.
huyu kijana ni mwendawazimu, kadhalilisha bunge lao, akamatwe na atiwe adabu
 
Bajeti ya ulinzi ya Marekan ni dola 700 bill ndiyo yenye ulinzi mkubwa dunian lakin raia waliingia bungen na viunga vya white house. jeshi la Marekan nalo ni dhaifu?
tayari ruto kaagiza jeshi liingilie kati, haya tuone waandamanaji kama wataandamana na kukabiliana na jeshi lao kama hawatakula risasi nyingi wafutiliwe mbali
 
Umepoteza muda wako bure kumuelewesha kundi la mafisadi limelewa kwa upigaji kiasi wanajiona hawaishi katika dunia hii haya machungu tunayopitia raia huku kitaa wao wanayaona kwenye bongo movie ndio maana mtu anashangaa maandamano
jeshi limeagizwa kuingilia kati, haya sasa tuone kama kuna waandamanaji wataandamana kibabe na kuingia sehemu nyeti
 
Nani anakudanganya uwaze hayo?Unawajua binadamu au ndiyo umefika duniani leo?
 
Tafsili yako ni mbaya, maana yake jeshi la Police la Tz ni katili na halijui mipaka yake. Ni jeshi linalo Linda viongozi kuliko wananchi.
hujui kama jeshi la kenya limeagizwa kuingilia kati? Haya tuone kama kuna wahuni wataandamana kama hawatakula risasi kama mvua. Wahuni hawavumiliwi kufanya uhuni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…