Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Ndugu yangu achana na nguvu ya uma, utauwa wangapi? watu wanakuja maelfu kwa maelfu. Hata hapo Dodoma watu wanaingia vizuri tu.
 
polisi wameonekana ni nyanya, jeshi limeagizwa kuingilia kati. Tuone kama wataandamana kibabe tena
 
Laana ya Wapalestina, Wahaiti na Wayemeni zinamuandama Ruto.

Sasa hivi ataanza kumwaga damu ya vijana wa Kikenya, kama bado.
kdf wameagizwa kuingilia kati, tuone kama kuna wahuni wataandamana kibabe tena na kuingia sehemu nyeti na kufanya uhalifu watakula risasi za uso kama zote wapuuzi wale
 
Endelea kujudanganya hivyo hivyo Iko siku huta amini macho,halafu ujidanganye tena kuwa security ya Kenya haiko vizuri,halafu ujue askari wa Kenya sio wa D2 hao kama wenu
 
Bajeti ya ulinzi ya Marekan ni dola 700 bill ndiyo yenye ulinzi mkubwa dunian lakin raia waliingia bungen na viunga vya white house. jeshi la Marekan nalo ni dhaifu?
Unajua Kuna watu rangi ya kijani imeingia mpaka kwenye ubongo kwahiyo hawaamini kama mambo yanaweza kubadilika wakati wowote,aendeleee kuamini kuwa jeshi lake ni jeshi imara Dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…