Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

"nitasema kweli daima, unafiki kwangu mwiko" hiki ndio CCM bila unafiki hupati cheo ndio maana jamaa wanamshangilia kila mwenyekiti
Tena wakikusikia unakosoa jambo lolote basi ujue cha mtema kuni utakiona !! Na unahesabika wewe sio mwenzao !! Huwa nacheka sana nikiiona ile katuni inayosema ukiwa hapa huo ubongo hauhitajiki kabisa !!
 
Maccm ni machawa sana
 
Lazima useme chochote,ukikaa kimya itaonekana huungi mkono,siasa zetu ni za kuviziana sana usipokuwa smart unajikuta upo nje ya reli,acha watafutaji walinde Ugali......unacheza kutokana na mdundo wa ngoma
Ndio maana Africa wanaamini siasa ni uongo uongo tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…