MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu.
Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa Magufuli, mfano Polepole na kikokotoo, Palamagamba na chanjo ya Madagaska.
Mbona hamtetei tozo, miamala, chanjo, hamtetei Royal Tour mmeacha mama hadi anaitwa ‘tour gaide’ na beberu, kaambiwa katekwa mpo tu.
Kulikoni wana CCM mbona awamu hii mmepwaya sana I see no reaction at all, mlidhani tozo ni kwa wapinzani tuu? Team Magufuli hebu vunjeni kambi mmsaidie mama.