Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

Makomredi wa KWELI walioiva vyema ITIKADI YA CCM na madarasa yake kamwe HAWAMBAGUI Mwenyekiti yeyote wa CCM.

Ukiona SINTOFAHAMU hizo, ujue hao WALIKUWA KWA AJILI YA MASLAHI YAO KOKO.

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#CCMIpoViongoziHupitaTu

ADUMU CHIFU MKUU WA MACHIFU WOTE CHIFU HANGAYA, amen[emoji120]
Heshima kwako mkuu
 
Nyie makamanda uchwara badala ya kulitetea hilo ligaidi lenu mmebaki kuweweseka tu. Oh rais Samia sijui nini, upuuzi mtupu.
 
Ila bi mkubwa anachekesha sana kawa mpole mnoo ndio maana hata Makada wa chama nao wameona wakae kimya wajionee yajayo
 
Magu alikuwa na fungu rasmi la kulipa wapiga debe, na alikuwa anatumia ahadi za vyeo kwa wapiga debe. Pia alitenga fungu rasmi la kuwawezesha watu waovu kufanyizia wote waliokuwa wanampinga. Mama wa kambo yeye yupo yupo tu siku ziende.
Acha uongo wewe! Weka ushahidi wa malipo hapa
 
Hata kwa Magufuli hawskuwa wengi kama walivyokuwa wanaonekana. Wakuu wa mikoa/ wilaya na maded, walipewa Targets kila mtu awe na kikundi cha vijana wenye account Zaidi ya tano tano kwa ajili ya nyimbo na kumpost hapa na pale siku hadi siku. Humu JFs ndio usiseme na walilipwa.

Sasa mpunga umeisha, ukata unawakata.
Kumbe ndio mchezo wenu hapo ufipa?
 
MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu.

Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa Magufuli, mfano Polepole na kikokotoo, Palamagamba na chanjo ya Madagaska.

Mbona hamtetei tozo, miamala, chanjo, hamtetei Royal Tour mmeacha mama hadi anaitwa ‘tour gaide’ na beberu, kaambiwa katekwa mpo tu.

Kulikoni wana CCM mbona awamu hii mmepwaya sana I see no reaction at all, mlidhani tozo ni kwa wapinzani tuu? Team Magufuli hebu vunjeni kambi mmsaidie mama.
Hata zile kwaya za TBC za kusifu na kuabudu sizioni kwa Samia
 
Hata kwa Magufuli hawskuwa wengi kama walivyokuwa wanaonekana. Wakuu wa mikoa/ wilaya na maded, walipewa Targets kila mtu awe na kikundi cha vijana wenye account Zaidi ya tano tano kwa ajili ya nyimbo na kumpost hapa na pale siku hadi siku. Humu JFs ndio usiseme na walilipwa.

Sasa mpunga umeisha, ukata unawakata.
Mbona hata TBC wamemsusa hawampigii kwaya za kumsifu na kumwabudu kama mwendazake?
 
Mafuta buku 2 jero si mchezo. Yaani duniani mafuta yanauzwa bei chee ila hapa kwetu yanaonekana anasa.
 
Pole sana mkuu!

Maumivu haya unayoyapata yataisha taratibu.

Vipi gaidi wako anaendeleaje? Ulimtembelea leo?
 
MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu.

Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa Magufuli, mfano Polepole na kikokotoo, Palamagamba na chanjo ya Madagaska.

Mbona hamtetei tozo, miamala, chanjo, hamtetei Royal Tour mmeacha mama hadi anaitwa ‘tour gaide’ na beberu, kaambiwa katekwa mpo tu.

Kulikoni wana CCM mbona awamu hii mmepwaya sana I see no reaction at all, mlidhani tozo ni kwa wapinzani tuu? Team Magufuli hebu vunjeni kambi mmsaidie mama.
Naona mmeamua kujifariji Mama anaupiga mwingi ndiyo maana anapiga vita peke yake mdogo mdogo anamalizia kula vichwa kisha ndiyo mtamuelewa zaidi.
 
Mama hataki unafiki.
 
Back
Top Bottom