Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

Magaidi was Segerea na washabiki waki react inatosha, after all nine kinapungua tukiwa na Hangaya?
 
Kwa Magufuli ilikuwa Ni nidhamu ya Woga. Kifupi moja ya sifa ya watanzania Ni WAOGA Sana.
Haishangazi kuona Maguful aliakuwa anaanza kuabudiwa.
Mungu atusamehe Sana.
Kuheshim mtu kuna kwa kupenda, wajibu au kuogopa..sasa ukiwafanya watu wakuamin hakikisha unaisimamia hiyo hali au kwa kuwalazimisha au kwakuwaonyesha unastahili heshima...mama kachagua kutowalazimisha na kuwaaminisha anashindwa siku hadi siku..
 
WanaCCM wanasema wazi wazi kuwa mama kwa sasa amekuwa tour guide, anadalalia nchi kwa mgongo wa mabeberu, hajui kitu, hawapi pesa makada na anawabamiza kisawasawa wenye matozo.
 
Kurudia kosa ndo kukosea sasa.

CCM inahitaji marekebisho makubwa sana. Tumetengeneza usultani kwa kila anayeshika nafasi za juu.

Maneno na matendo vinakimbiana.

Leo akina Mzee Warioba wanaonekana outsiders lakini ndo waliokuwa thinktanks nchi ilipokuwa stable huko awali
 
Crimea jitombashisho wanakula ukwaju tu
 
Usitukumbushe, watu waliumia sana na utawala ule. Na mungu akatuepushia
 
Hawamtaki hana mvuto
 
Mkuu hao wa wazee wa gear za angani sio wa kubishana nao, hawajielewi.
 
Una ushahidi poti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…