Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

Heshima kwako mkuu
 
Nyie makamanda uchwara badala ya kulitetea hilo ligaidi lenu mmebaki kuweweseka tu. Oh rais Samia sijui nini, upuuzi mtupu.
 
Ila bi mkubwa anachekesha sana kawa mpole mnoo ndio maana hata Makada wa chama nao wameona wakae kimya wajionee yajayo
 
Magu alikuwa na fungu rasmi la kulipa wapiga debe, na alikuwa anatumia ahadi za vyeo kwa wapiga debe. Pia alitenga fungu rasmi la kuwawezesha watu waovu kufanyizia wote waliokuwa wanampinga. Mama wa kambo yeye yupo yupo tu siku ziende.
Acha uongo wewe! Weka ushahidi wa malipo hapa
 
Kumbe ndio mchezo wenu hapo ufipa?
 
Hata zile kwaya za TBC za kusifu na kuabudu sizioni kwa Samia
 
Mbona hata TBC wamemsusa hawampigii kwaya za kumsifu na kumwabudu kama mwendazake?
 
Mafuta buku 2 jero si mchezo. Yaani duniani mafuta yanauzwa bei chee ila hapa kwetu yanaonekana anasa.
 
Pole sana mkuu!

Maumivu haya unayoyapata yataisha taratibu.

Vipi gaidi wako anaendeleaje? Ulimtembelea leo?
 
Naona mmeamua kujifariji Mama anaupiga mwingi ndiyo maana anapiga vita peke yake mdogo mdogo anamalizia kula vichwa kisha ndiyo mtamuelewa zaidi.
 
Naona mmeamua kujifariji Mama anaupiga mwingi ndiyo maana anapiga vita peke yake mdogo mdogo anamalizia kula vichwa kisha ndiyo mtamuelewa zaidi.
Mama hataki unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…