Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

Ile praise team ya MATAGA
Ilizikwa rasmi siku ile mzee jiwe anafukiwa Chattle Mabatini mbaka leo hawaamini kilichitokea wakapoteana kwanza maana buku saba kwa siku zilisitishwa ghafla

Ila now wameanza rudi kwa kasi baada ya Mh Mbowe kukamatwa hasira zao sasa ndio wanazimalizia kwake kwa kukebehi humu tunawajua tunasubiria mzinga mmoja tu utakao wasambalatisha mazima,

Time will tell!
 
Polepole mzee wa "magazijuto"
 
Anaowaweka sasa ndio watamtetea ,akina Ummy,Uweso,January nk wanamtetea vizuri tuu..

Kikubwa aendelee kupangua lile genge la Mwendazake..
 
Wameshaona Chief Hangaya ameupiga mwingi mpaka ameutoa nje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa Magufuli ilikuwa Ni nidhamu ya Woga. Kifupi moja ya sifa ya watanzania Ni WAOGA Sana.

Haishangazi kuona Maguful aliakuwa anaanza kuabudiwa.

Mungu atusamehe Sana.
Uko sahihi kabisa mkuu hii nchi ni rahisi Sana kuiongoza
 
Naona unafuraha panga halijakupitia😄
Mimi sio mwanasiasa wala shughuli zangu hazinipi nafasi ya kuteuliwa mwanasiasa na sitaki..

Ila nataka mama apangue lile kundi la wazushi ,mara ametekwa nyara mara JK anaongoza hilo kundi ndilo linashirikiana na chadema kuleta uzushi.
 
Kifupi mwendazake alikuwa akipenda kusifiwa hata kwa baya alilofanya na hawa waliokuwa wapiga debe na miluzi walijua udhaifu wake na walikuwa wakilipwa. Kwa upande wa mama hataki sifa za kinafki ndiyo sasa wakina motochini, jingalao, mudawote, wakudadavua n.k huwaoni humu. Kumbuka Dikteta huwa anapenda kusifiwa tu kinyume na hapo unaliwa kichwa
 
Kila dhama na kitabu chake. JPM alikua na modality yake ya kuongeza mama nae anasystem yake Tofauti yao MUDA utaamua maana lengo ni kumjenga mama Tanzania. Kwa kutambaa, kutembea ama kukimbia tutafika tu. Kijiti lazima kipokelewe. ila kuna haja ya katiba ielezee continuity ya mambo yanayoanzishwa toka utawala mmoja kwenda kwa mwingine.
 
Ushasema team magufuli, uliona wapi mchezaji wa simba akalipwa na yanga kila mtu atakula alipopeleka mboga.
Alafu kingine hakuna kitu cha maana mama anachofanya ndo maana hakuna cha kumsifia labda wewe useme ni kitu gani cha maana mama alichokifanya mpaka sasa .au chanjo? Chanjo ambayo ata wewe umegoma kwenda kuchanja.
 
Mimi sio mwanasiasa wala shughuli zangu hazinipi nafasi ya kuteuliwa mwanasiasa na sitaki..

Ila nataka mama apangue lile kundi la wazushi ,mara ametekwa nyara mara JK anaongoza hilo kundi ndilo linashirikiana na chadema kuleta uzushi.
Aah wapi. Kiukweli umebakia kwenye wizara hujatumbuliwa.
 
Ila mwendazake alikuwa anapenda kusifiwa heri hata Hangaya hana mda mchafu wakusifiwa ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…