Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe elewa uelewavyo, kwa mimi eti jibaba likae linanuna eti, khaaa, tena linamnunia mkewe! Huyo ni mwanamme suruali tu, Mwanamme umnunie mkeo kwani mke mwenzio huyo?Bibi Faiza False ...
SIJUI NI KWANINI HAYA MAMBO MNAKUJA KUYAJUA BAADA YA KUOA.Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika,nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka,asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo,nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie,amenihudumia vizuri hadi raha,mpaka sasa bado niko kwake,wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupukia?
Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.
Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.
Asante.
Sasa ukibeba Makange ya Samaki na kupeleka home, hicho chakula alichopika wife atakula nani Sasa!? Au familia yako inapenda sana ma vyakula ya road!? Hawapendi kupika home kwako!?Kuakua kidooogo umeiwahi ndoa, mi kaka ako mbali sisumbuki na mwanamke nikitoka job napita Bar nagonga bia4 na nyama choma, nabeba makange ya samaki napeleka home naingia rum kulala, watoto nawasalimia asubuhi kama nkichelewa kurudi
ukitaka kuoa mwanamke, mchunguze mama yake mzazi aliyeishi nae. Kama mama yake alikuwa pasua kichwa kwa baba yake, na wewe ukakimbilia kumwoa mwanae, jua na tambua mapema umeshafungashiwa mbuzi kwenye gunia licha ya yeye kuwa na masters.Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika,nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka,asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo,nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie,amenihudumia vizuri hadi raha,mpaka sasa bado niko kwake,wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupukia?
Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.
Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.
Asante.
Nin kigeni?Chai hii. uoe mke wa masters tena england uende kula kwa mama ntilie aiseee
Nilisikia anataja jina la mdogo wakeUna uhakika alikuwa anachat na ndugu zake?
☕☕Bado niko kwa mchepuko till now
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka sana jamani!Unazira kwenye menu?[emoji23][emoji23]
Vitu viwili vya msingi hutakiwi kuzira, K na msosi.
[emoji1][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbona katika hii story pasua kichwa ni wewe???
Hahahahah mtt fala sana nimecheka mno!😅mbona katika hii story pasua kichwa ni wewe???
Halafu unaandika 'kudhira'Chai hii. uoe mke wa masters tena england uende kula kwa mama ntilie aiseee