Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

SIJUI NI KWANINI HAYA MAMBO MNAKUJA KUYAJUA BAADA YA KUOA.
BILA SHAKA HARUSI YENU ILIKUWA ILE YA MBWEMBWE NYINGI NA VIHERERE VYA KUTOSHA.
NA MAGOTI ULIPIGA, KULIA ULILIA MWENYEWE UKAJIONA MJANJA.

JIFUNZE KUPIKA KAMA HUJUI,ILI USIJE HAIBIKA PALE UTAKAPO KUJA KUJUA MCHEPUKO WAKO NI MCHEPUKO WA WOTE.
 
Kuakua kidooogo umeiwahi ndoa, mi kaka ako mbali sisumbuki na mwanamke nikitoka job napita Bar nagonga bia4 na nyama choma, nabeba makange ya samaki napeleka home naingia rum kulala, watoto nawasalimia asubuhi kama nkichelewa kurudi
Sasa ukibeba Makange ya Samaki na kupeleka home, hicho chakula alichopika wife atakula nani Sasa!? Au familia yako inapenda sana ma vyakula ya road!? Hawapendi kupika home kwako!?
 
ukitaka kuoa mwanamke, mchunguze mama yake mzazi aliyeishi nae. Kama mama yake alikuwa pasua kichwa kwa baba yake, na wewe ukakimbilia kumwoa mwanae, jua na tambua mapema umeshafungashiwa mbuzi kwenye gunia licha ya yeye kuwa na masters.

Mwanaume haoi masters, mwanaume anaoa TABIA na CHURA.

Kama wewe ulioa masters, bila kuchunguza TABIA zao, umeshaliwa, pole sana.
 
Unazira kwenye menu?[emoji23][emoji23]
Vitu viwili vya msingi hutakiwi kuzira, K na msosi.
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka sana jamani!
Eti kasusa kula anasubiri kubembelezwa kaahh!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]
 
Atakuwa mwanaume wa Dar huyu. Sisi wa huku Chuga hakuna kuzira.

Mwanamke mnapigana, anapika msosi na kukaa wote mezani kisha kidali poo kinaliwa sawasawa.

Mwanaume gani unazira?
 
Sasa Ni msomi yes Ila anaonekana anatimiza vizuri majukumu yake. Hapo wewe mwanaume ndo una shida Yani mtu atoke kazini aje apike alafu ususe kula khaaa, na bado ungetaka kubembelezwa jamani.

Muwe mnatuonea huruma wanawake ambao nasi tunatafuta ni tunachoka Kama nyie pia Ni vile tu huwa runatimiza wajibu
 
Sasa Ni msomi yes Ila anaonekana anatimiza vizuri majukumu yake. Hapo wewe mwanaume ndo una shida Yani mtu atoke kazini aje apike alafu ususe kula khaaa, na bado ungetaka kubembelezwa jamani.

Muwe mnatuonea huruma wanawake ambao nasi tunatafuta ni tunachoka Kama nyie pia Ni vile tu huwa runatimiza wajibu
 
Umeoa Supa wumani eeeeh...

Mkuu mwanaume hutakiwi kununa,,, hutakiwi kuzira... Kwamwe katika maisha...

Kununa ni hulka za kike, hio inaonyesha huna maamuzi kama Baba ndio maana unanuna,,,yaani mlivopishana kauli inaonekana wewe ndio uli bow down,, Unasusa vipi msosi ulioutafuta mwenyewe???..

Grow up men,,, hapo unaachia mamlaka taratibu... Na trust me... Next time supa wumani huyo atakuzaba Makofi...

Dume unasusa,,, Dume unataka ubembelezwe?? Are you serious.!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…