Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

Oya ukitoka hapo kwa mchepuko, nenda bar piga mvinyo wa kutosha na wajuba wako kama wa3.

Alafu muda wa kurudi home njoo na hao wajuba wote mmelewa mle icho chakula, kama hakitoshi muamshe awapikie kingine.

Akigoma sasa hapo sasa anzisha mtafaruku, umembambikia kesi ya dharau.
 
Nimecheka kwa sauti sasa andiko la "ukisusa sie twala" limetimia
 
Huyo sio kwa sababu ya usomi wake,wanawake wote wameumbwa wanajua kubembeleza,labda wachache tu,na huyo mke wako ndio yuko kwenye hilo kundi la wachache.Pole sana umeshakosea kuoa hapo,usiache kumuaomba Mungu ili alete mabadiliko kwenye nyumba yako,na huo uamuzi wako wa mchepuko sio suluhisho......
 
Mkeo msomi Ila hayupo jamiiforum aisee Basi bado sio mjanja maana najua usingepost..me mke Wangu hajasoma Yuko vzr Kuna point uko sahihi...wasomi Wana dharau sana
Mkuu mbona madem waki zungu hawana zarau na wamesoma na wanaolewa na waswahili wenye elimu ndogo
 
Umezira kula mkeo ndio akubembeleze ? Yaan mtu mzima ubembelezwe kula? Haupo serious
 
Chai hii. uoe mke wa masters tena england uende kula kwa mama ntilie aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana anko.
Cathbert wa Kimara "SuCa" alioa mmama wa kihehe aliye soma uingereza,akaja kufanya kazi NHC,mmama akajichanga wakafungua hotel ikaitwa SUCA,mama uzungu ukawa mwingi,mume akamla ''ousigeli" na mimba juu...
Kesi ikaenda mahakamani,mbaba akajitetea alirogwa na ousigeli,ndoa ikavunjika. Kwa sasa mama yupo Malamba mawili anafuga kuku,ousigeli yupo kwenye ndoa.
 
Maskini daah ndoa changamoto
 
Sasa ukibeba Makange ya Samaki na kupeleka home, hicho chakula alichopika wife atakula nani Sasa!? Au familia yako inapenda sana ma vyakula ya road!? Hawapendi kupika home kwako!?
Watakula na makange pia wanakula na hakuna tatizo
 
Chai hii. uoe mke wa masters tena england uende kula kwa mama ntilie aiseee
Niliwahi muuliza mwanaume wangu kwann amecheat na baamedi na wadangaji akajibu hakuna tofauti ya wale na msomi mimi (yani K ni hiyo hiyo). Akili za wanaume namna wanavyotuwazia sisi wanawake no tofauti na sisi wanawake tunavyojilinganisha. Kifupi K yako ndo inapaswa ipande kiwango na sio vitabu.
Jibu lilinichosha sana
 
Tafuta faraja ya moyo wako
 
Kuna tofauti kati ya kuwa na elimu na kuwa na akili

Usomi bado unaweza usikusaidie kuondoa ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…