Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Bora ufe kwa ukimwi
 
Usikubali kuandamana. Usikubali kufanywa "jamvi" na wanasiasa. Usikubali kutumika kama condom.
 
Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Utamu wa pilau kuku na kisamvu ,ndizi, parachichi na sharubati ya muwa +utamu wa wadada hakika kuandamana HAPANA.Wacha nile pesa zangu sowezi kukatisha maisha kizembe
 
Siku ukiingia kwenye kumi na nane za wazee wa unanijua mm ni naniii wakuonyeshe jeuri ya wao kuachwa waendeshe nchi watakavyo ndo utajua umuhimu wa kudai haki yako.Mababu zetu nao wangesema nyie wazee si mriruhusu wazungu waje oambaneni nao leo hii usingekua huru ungekua mtwana tu.Inshort hata vijana wa hovyo wapo.
Huu ni ujinga AFRICA hakuna nchi inatawaliwa mpaka sasa ,hao mababu zetu wangekaa kwa kutulia uhuru ungekuja tu
 
Kwa hiyo Nyerere na Wapigani uhuru wenzake wangekuwa na mentality hii ina maana tungekuwa tunatawaliwa bado.

Maendeleo unayoyaona Marekani, Ulaya huko Asia hayajakuja hivi hivi kuna watu kibao walipoteza wapendwa wao hadi hizo nchi zimesimama hivyo.

Hii ina maana kuna siku utaletwa muswada wanaume wote mtoe ndogo angalau mara moja kwa mwezi kwa nchi wa hisani, utakubali kwa kuwa ukiandamana utapigwa risasi?

Huwa naamini kitu kimoja kama huwezi kuwasupport basi angalau usiwavunje moyo.
Hiki ulichosndika ni nini? Kuna nchi gani inatawaliwa mpaka sasa?muda wa kuwa huru ungefika tu iwe ni 90s or 2000s tena bure bila nguvu yoyote
 
Hii dunia ni kubwa sana, kila mtu huja kivyake na kuondoka kivyake.

Kwa nini upoteze uhai wako kwa ajili ya wengine?

Kwani wewe hutaki kuishi?

Au wewe ndio ulikuja hapa duniani kupigania wengine waishi?

Kwa nini hao unaohangaika kuwapigania waishi, wasijipiganie wenyewe waishi.

Yani hakuna kazi ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani kama uanajeshi.

Yani unakufa vitani halafu kuna mafala mawili wanasiasa yamekaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka yana wacheki tu mkiuana..!!!
UMESEMA KWELI NDUGU. Putin yuko anakula nchi vizuri alafu mimi niende kupigana. Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom