Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #141
Huo ndio ukweli hata useme nimetumwa ni ujinga kufa Ili mtu mwingine ale keki ya taifa ikulu na familia yakeHuyu ametumwa acheni kuhangaika naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli hata useme nimetumwa ni ujinga kufa Ili mtu mwingine ale keki ya taifa ikulu na familia yakeHuyu ametumwa acheni kuhangaika naye.
Yaani utaita majina yotee ila huo ujinga wa kuandamana nife nizikwe nioze Ili jitu lingine liishi vizuri sifanyiWe bwabwa kweli, unajibu ka huna kichwa yani.
Kalale sasa Chawa mtiifu uwaachie vijana wenye akili wapambanie masrahi ya watoto wao.Yaani utaita majina yotee ila huo ujinga wa kuandamana nife nizikwe nioze Ili jitu lingine liishi vizuri sifanyi
Mda huo wewe ushaoza Kwa ujinga uliofanya wenzio wako ikulu mtoto wako Yuko dampo ujioni kama ni bonge la bwege sababu Shaba umekula na hamna kilichobadilikaKalale sasa Chawa mtiifu uwaachie vijana wenye akili wapambanie masrahi ya watoto wao.
Mkuu pumzika, na hii hali ya mawingu hasa kwa dar sio nzuri kwa kichwa.Sina mda wa kuandamana Mimi Ili jitu lingine lije kuishi vizuri wakati huo Mimi nimeoza nimeshakua mchanga sifanyi huo ujinga milele Mimi sio mjinga ingia barabarani mwenyewe sio unakaa ndani ya shuka unalopoka humu
Sina mda wa kufanya ujinga wa kuandamanaMkuu pumzika, na hii hali ya mawingu hasa kwa dar sio nzuri kwa kichwa.
Wewe kweli huna akili mwanajeshi Ile ni kazi yake na analipwa pesa ya maana hata kabla ya kuingia vitani Sasa wewe choka mbaya hulipwi eti unaingia barabarani kutafuta haki yaani wewe una mawe wenzio Wana mk 47 unasema unatafuta haki hivi una akili timamu mzee zaidi utaishia kula Shaba na kuzikwa na maisha yanabaki vile vile mda huo wewe umeshaoza Kwa kifo Cha kujitakia au kutafuta sifaDuniani ni mahali pa ajabu sana pamoja na kwamba hutaki kuandamana kama mimi lakini kumbuka ni lazima wengine wamwage damu ili wengine waishi kwa raha. Ndiyo maana wanajeshi wanakwenda vitani wakijua kwamba watakufa lakini wengine wapone. Hiyo ndiyo dunia ilivyo tangu kuumbwa. Mimi ninafikiri kuna watu wametolewa kafara kwa ajili ya wengine bila wao kujua. Saa nyingine ninatafakari pale mtu anajua hapa kuna kufa lakini haogopi. Huo ujasiri siyo wa kawaida. Anyway wote tutakufa tu at the end of the day.
Hii dunia bila kujitoa isingekuwa hapa.Wanaume wa kweli walipambana na Wanyama wakali na manyoka makubwa kwa ajili ya wengine.Walipambana na misitu mikubwa na mito mikubwa kwa ajili ya wengine.Karl Peter's,Bismark,Mkwawa,Kinjikitile Ngwale,Mangi Sina,Isike,Mkwawa,Merere,Nyerere,Kaunda,Nelson Mandela,Nkwameh Nkrumah,Mama Samiah ni miongoni mwa watu waliopambana either kwa kubebwa au kujitolea kwa ajili ya watu wengine.Mtu mchoyo hufa na uchoyo wake.Mtu ambaye hajawahi pitia shida atakuambia kuwa maandamano ni utumwa kwa sababu tangu azaliwe hajawahi onja shida yoyote.Wenye shida tunajua faida ya maandamano na kujitoa kwa ajili ya wengine.Duniani ni mahali pa ajabu sana pamoja na kwamba hutaki kuandamana kama mimi lakini kumbuka ni lazima wengine wamwage damu ili wengine waishi kwa raha. Ndiyo maana wanajeshi wanakwenda vitani wakijua kwamba watakufa lakini wengine wapone. Hiyo ndiyo dunia ilivyo tangu kuumbwa. Mimi ninafikiri kuna watu wametolewa kafara kwa ajili ya wengine bila wao kujua. Saa nyingine ninatafakari pale mtu anajua hapa kuna kufa lakini haogopi. Huo ujasiri siyo wa kawaida. Anyway wote tutakufa tu at the end of the day.
Unataka nani akuletee ugali nyumbani kwako ingia barabarani kama wewe kweli jidume sio unaongelea kwenye shuka shio ipo road sio humu Kila mtu anapiga kelele tu sifanyi huo ujinga mimi kufa jitu lingine liishi vizuriHii dunia bila kujitoa isingekuwa hapa.Wanaume wa kweli walipambana na Wanyama wakali na manyoka makubwa kwa ajili ya wengine.Walipambana na misitu mikubwa na mito mikubwa kwa ajili ya wengine.Karl Peter's,Bismark,Mkwawa,Kinjikitile Ngwale,Mangi Sina,Isike,Mkwawa,Merere,Nyerere,Kaunda,Nelson Mandela,Nkwameh Nkrumah,Mama Samiah ni miongoni mwa watu waliopambana either kwa kubebwa au kujitolea kwa ajili ya watu wengine.Mtu mchoyo hufa na uchoyo wake.Mtu ambaye hajawahi pitia shida atakuambia kuwa maandamano ni utumwa kwa sababu tangu azaliwe hajawahi onja shida yoyote.Wenye shida tunajua faida ya maandamano na kujitoa kwa ajili ya wengine.
Hata ww unaishi vizuri kwa sababu kuu mbili. Moja, baba yako aliangaika sana kumtongoza mama yako, mpaka akampata.Huna akili yaani nife kisa jitu lingine lije kuishi vizuri Sasa wakiishi vizuri Mimi nafaidika na nini wakati mda huo nimeoza Kwa ujinga niliofanya wao wanakula keki ya taifa Kila mtu apambane na maisha yake Kila mtu ana kaburi lake siwezi kufanya huo ujinga mimi
Kwahiyo walinizaa Ili nije kuandamana nife Ili mijitu mingine Ile keki ya taifa huna akili mzee wajinga pekee ndio wanaoandamanaHata ww unaishi vizuri kwa sababu kuu mbili. Moja, baba yako aliangaika sana kumtongoza mama yako, mpaka akampata.
Pili, mama yako alikaa na ujauzito kwa miezi tisa, ndio ukatokea.La sivyo angetoa mimba, usingekuwepo. Nature bado, ipo ili tusaidie wengine .
Haya 👍pamoja 🙄🙄Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Bora mkoloni angebaki kutawala Afrika kuliko hao wapigania uhuru uchwara kina Nyerere waliandaa mifumo ya kinyonyaji inayo endelezwa hadi leo.Kwa hiyo Nyerere na Wapigani uhuru wenzake wangekuwa na mentality hii ina maana tungekuwa tunatawaliwa bado.
Afrika hata ukipoteza maisha haisaidii kubadilisha chochote.Maendeleo unayoyaona Marekani, Ulaya huko Asia hayajakuja hivi hivi kuna watu kibao walipoteza wapendwa wao hadi hizo nchi zimesimama hivyo.
Hii ina maana kuna siku utaletwa muswada wanaume wote mtoe ndogo angalau mara moja kwa mwezi kwa nchi wa hisani, utakubali kwa kuwa ukiandamana utapigwa risasi?
Huwa naamini kitu kimoja kama huwezi kuwasupport basi angalau usiwavunje moyo.
Usiseme Afrika sema Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi na Kenya.Bora mkoloni angebaki kutawala Afrika kuliko hao wapigania uhuru uchwara kina Nyerere waliandaa mifumo ya kinyonyaji inayo endelezwa hadi leo.
At least mkoloni aligawa huduma kwa haki kwa watu wote.
Afrika hakuna uhuru, Huu uhuru uliopo ni uhuru uchwara wa kuwafaidisha wachache huku maelfu wakiendelea kubaki maskini.
Afrika hata ukipoteza maisha haisaidii kubadilisha chochote.
Waafrika hawajawahi na hawawezi kujiongoza
Mwafrika yeyote akishapata madaraka anawaza ukoo wake na familia yake, ubadhirifu, upigaji, uhujumu uchumi na kujilimbikizia mali.
Hii dunia ni kubwa sana, kila mtu huja kivyake na kuondoka kivyake.Duniani ni mahali pa ajabu sana pamoja na kwamba hutaki kuandamana kama mimi lakini kumbuka ni lazima wengine wamwage damu ili wengine waishi kwa raha. Ndiyo maana wanajeshi wanakwenda vitani wakijua kwamba watakufa lakini wengine wapone. Hiyo ndiyo dunia ilivyo tangu kuumbwa. Mimi ninafikiri kuna watu wametolewa kafara kwa ajili ya wengine bila wao kujua. Saa nyingine ninatafakari pale mtu anajua hapa kuna kufa lakini haogopi. Huo ujasiri siyo wa kawaida. Anyway wote tutakufa tu at the end of the day.
South Afrika imeendelezwa na wazungu na ndio nchi yenye level za Amerika au ulaya.Usiseme Afrika sema Tanzania,Uganda,Rwanda,Burundi na Kenya.