Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Huna akili yaani nife kisa jitu lingine lije kuishi vizuri Sasa wakiishi vizuri Mimi nafaidika na nini wakati mda huo nimeoza Kwa ujinga niliofanya wao wanakula keki ya taifa Kila mtu apambane na maisha yake Kila mtu ana kaburi lake siwezi kufanya huo ujinga mimi
Acha uoga siku ya kufa ipo na hujui utakufa lini,na utafia wapi,wewe amini unachoamini ila usipige promo kama wote wanafikiri unavyofikiri.Kifo kipo tu kiwe cha haki,cha kuonewa,ajali au maradhi kifo ni kifo tu.
 
Acha uoga siku ya kufa ipo na hujui utakufa lini,na utafia wapi,wewe amini unachoamini ila usipige promo kama wote wanafikiri unavyofikiri.Kifo kipo tu kiwe cha haki,cha kuonewa,ajali au maradhi kifo ni kifo tu.
Kufa Kwa ajili yan jitu jingine ni ujinga Wala sio ujasiri yaani unakula Shaba Ili jitu like kuishi vizuri miaka ijayo wakati wewe umeoza chini hivi hiyo ni akili au tope
 
Kwa hiyo Nyerere na Wapigani uhuru wenzake wangekuwa na mentality hii ina maana tungekuwa tunatawaliwa bado.

Maendeleo unayoyaona Marekani, Ulaya huko Asia hayajakuja hivi hivi kuna watu kibao walipoteza wapendwa wao hadi hizo nchi zimesimama hivyo.

Hii ina maana kuna siku utaletwa muswada wanaume wote mtoe ndogo angalau mara moja kwa mwezi kwa nchi wa hisani, utakubali kwa kuwa ukiandamana utapigwa risasi?

Huwa naamini kitu kimoja kama huwezi kuwasupport basi angalau usiwavunje moyo.
Hakika.
 
Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Nakubali haswa kuwa wazee wet walikua mbumbumbu kama wewe ulieshiba chapati mbili ukaridhika
 
Back
Top Bottom