Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #81
Huna akili yaani nife kisa jitu lingine lije kuishi vizuri Sasa wakiishi vizuri Mimi nafaidika na nini wakati mda huo nimeoza Kwa ujinga niliofanya wao wanakula keki ya taifa Kila mtu apambane na maisha yake Kila mtu ana kaburi lake siwezi kufanya huo ujinga mimiInaonekana huna uelewa kabisa wa nature ya maisha ya binadamu. Wabena wa, Njombe, wanasema panda miti kwa ajili ya kutumiwa na vijana wa kizazi kingine. Vijana wengi matajiri pale Njombe wanatumia utajiri wa, miti iliyopandwa, na mababu zao.
Ndugu yangu mtoa, mada, usiwe mbinafsi kuogopa kifo , kwani ukifa ww ndugu zako wataisha maisha mema na mazuri.Ubinafsi umewajaa watanzania. Hatutaki kuwapigania wabongo na vizazi vijavyo kwa kuogopa kufa.