Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Yaah waache kutuambia vijana andamaneni wakati wao enzi zao walikua wamezubaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah waache kutuambia vijana andamaneni wakati wao enzi zao walikua wamezubaa
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitofanyaUnajidanya tu ,siku ya kufa na aina ya kifo ilishapangwa kama ni risasi, ugonjwa , ajali n.k so kama ni risasi hajalishi upo kwenye maandamano au la utalamwa ,hivyo hivyo kama ni ugonjwa, ajali n.k
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na hiyo tone ya mwandiko.Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nisikie tena mnaweka vi thread vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Na unaweza shangaa , kama ni kifo cha risasi ulichopangi siku hauko kwenye maandamano unatoka kwenye misheard zako na kupita karibu na waandamanaji , kitu kinatunguliwa huko ,kinavyaa, na alie kwenye maandamano anarudi nyumbani salama, Mipango ya Mungu ni ajabu sanaBora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitofanya
Maneno kuntu sana haya. Usikubali kuendeshwa na mob psychology kwa kuwa kwenye mob unaonekana ni shujaa lakini machungu yakikupata ni wewe na ndugu zako.Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nisikie tena mnaweka vi thread vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Si utokeze wewe ngosha wa mwanza ukaandamane, kwani lazima uende na sisi?Siku ukiingia kwenye kumi na nane za wazee wa unanijua mm ni naniii wakuonyeshe jeuri ya wao kuchwa waendeshe nchi watakavyo ndo utajua umuhimu wa kudai haki yako.Mababu zetu nao wangesema nyie wazee si mriruhusu wazungu waje oambaneni nao leo hii usigekua huru ungekua mtwana tu.Inshort hata vijana wa hovyo wapo.
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitoUnajidanya tu ,siku ya kufa na aina ya kifo ilishapangwa kama ni risasi, ugonjwa , ajali n.k so kama ni risasi hajalishi upo kwenye maandamano au la utalamwa ,hivyo hivyo kama ni ugonjwa, ajali n.k
Ndio hivyo sifanyi huo ujinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na hiyo tone ya mwandiko.
Sifanyi huo ujinga Nina akili ya miaka 100 mbeleunafikir yakitokea maandamano huta andamana.Maandamano ni mtego wa panya hata kama hutak utanaswa tu.
Sina huo mda hata wa kukanyaga karibu na maandamano mzee ingia wewe ukaandammane Mimi sifanyi huo ujinga hata kusogea karibu na huo ujinga milele nife kisa kitu lingine liishi vizuriNa unaweza shangaa , kama ni kifo cha risasi ulichopangi siku hauko kwenye maandamano unatoka kwenye misheard zako na kupita karibu na waandamanaji , kitu kinatunguliwa huko ,kinavyaa, na alie kwenye maandamano anarudi nyumbani salama, Mipango ya Mungu ni ajabu sana
Mm kuandamana nitaandamana tu km nikipata sababuSi utokeze wewe ngosha wa mwanza ukaandamane, kwani lazima uende na sisi?
Nenda kaandamane wewe mzee Mimi sifanyi huo ujinga yaani nife kisa jitu lingine liishi vizuri Bora maisha yawe magumu milele ila sio kufanya huo ujinga hamna haki hapo ni ujingaSiku ukiingia kwenye kumi na nane za wazee wa unanijua mm ni naniii wakuonyeshe jeuri ya wao kuchwa waendeshe nchi watakavyo ndo utajua umuhimu wa kudai haki yako.Mababu zetu nao wangesema nyie wazee si mriruhusu wazungu waje oambaneni nao leo hii usigekua huru ungekua mtwana tu.Inshort hata vijana wa hovyo wapo.
By the way, who are you to make any difference?Kenya ukiondoa maandamano haya mengine yote wakongwe kina Raila wapo front.
Huku wanahamasisha muandamane wengine wanalipana posho na kusubiri waitwe ikulu kwa maongezi ya muafaka.
Nitaandama siku maandamano ya kweli ya wananchi yakifanyika bila juhusisha wanasiasa Ila maandamano yatakayoitishwa na wanasiasa hamtaniona.
Bila picha ya mdudu hayo ni matap tapNa hasa ukikumbuka vitamu vya kunoga
Ni kwa sababu wewe ni Mjinga ndio maana huwezi kuandamana kwa kuwa hujui kwanini watu wanaandamana.Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa sababnashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Yaani ni ujinga wa Hali ya juu unakufa mijitu inaponda rahaKenya ukiondoa maandamano haya mengine yote wakongwe kina Raila wapo front.
Huku wanahamasisha muandamane wengine wanalipana posho na kusubiri waitwe ikulu kwa maongezi ya muafaka.
Nitaandama siku maandamano ya kweli ya wananchi yakifanyika bila juhusisha wanasiasa Ila maandamano yatakayoitishwa na wanasiasa hamtaniona.
Wewe umeshaleta mabadiliko ganiBy the way, who are you to make any difference?