Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #101
Sina mda wa kuandamana Mimi kisa jitu lingine liishi vizuri wakati huo Mimi nimeshaoza nimekua mchangaSijajua watu hapa Tz wanataka kuandamana kwa lipi, ila iwe iwavyo maandamano yanahitaji vijana werevu na wanaojitambua. Kwa uandishi huu tu, wala usipoteze muda na maandamano (hata yakija), waachie wenye akili mkuu.