Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Yaah waache kutuambia vijana andamaneni wakati wao enzi zao walikua wamezubaa
 
Unajidanya tu ,siku ya kufa na aina ya kifo ilishapangwa kama ni risasi, ugonjwa , ajali n.k so kama ni risasi hajalishi upo kwenye maandamano au la utalamwa ,hivyo hivyo kama ni ugonjwa, ajali n.k
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitofanya
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na hiyo tone ya mwandiko.
 
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sitofanya
Na unaweza shangaa , kama ni kifo cha risasi ulichopangi siku hauko kwenye maandamano unatoka kwenye misheard zako na kupita karibu na waandamanaji , kitu kinatunguliwa huko ,kinavyaa, na alie kwenye maandamano anarudi nyumbani salama, Mipango ya Mungu ni ajabu sana
 
Siku ukiingia kwenye kumi na nane za wazee wa unanijua mm ni naniii wakuonyeshe jeuri ya wao kuachwa waendeshe nchi watakavyo ndo utajua umuhimu wa kudai haki yako.Mababu zetu nao wangesema nyie wazee si mriruhusu wazungu waje oambaneni nao leo hii usingekua huru ungekua mtwana tu.Inshort hata vijana wa hovyo wapo.
 
Maneno kuntu sana haya. Usikubali kuendeshwa na mob psychology kwa kuwa kwenye mob unaonekana ni shujaa lakini machungu yakikupata ni wewe na ndugu zako.

Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kushindana na system. Hata akina Januari, Mwigulu, Mbowe, Lissu au Zitto Kabwe hawawezi kuwa ma Rais wa Tanzania kama "system" haiwakubali
 
Kenya ukiondoa maandamano haya mengine yote wakongwe kina Raila wapo front.
Huku wanahamasisha muandamane wengine wanalipana posho na kusubiri waitwe ikulu kwa maongezi ya muafaka.
Nitaandama siku maandamano ya kweli ya wananchi yakifanyika bila juhusisha wanasiasa Ila maandamano yatakayoitishwa na wanasiasa hamtaniona.
 
Si utokeze wewe ngosha wa mwanza ukaandamane, kwani lazima uende na sisi?
 
unafikir yakitokea maandamano huta andamana.Maandamano ni mtego wa panya hata kama hutak utanaswa tu.
 
Unajidanya tu ,siku ya kufa na aina ya kifo ilishapangwa kama ni risasi, ugonjwa , ajali n.k so kama ni risasi hajalishi upo kwenye maandamano au la utalamwa ,hivyo hivyo kama ni ugonjwa, ajali n.k
Bora nife kifo Cha risasi kingine ila sio Cha kufanya ujinga wa kuandamana ufe Kwa ajili ya watu wengine ujinga huo sito
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na hiyo tone ya mwandiko.
Ndio hivyo sifanyi huo ujinga
 
Sina huo mda hata wa kukanyaga karibu na maandamano mzee ingia wewe ukaandammane Mimi sifanyi huo ujinga hata kusogea karibu na huo ujinga milele nife kisa kitu lingine liishi vizuri
 
Nenda kaandamane wewe mzee Mimi sifanyi huo ujinga yaani nife kisa jitu lingine liishi vizuri Bora maisha yawe magumu milele ila sio kufanya huo ujinga hamna haki hapo ni ujinga
 
By the way, who are you to make any difference?
 
Ni kwa sababu wewe ni Mjinga ndio maana huwezi kuandamana kwa kuwa hujui kwanini watu wanaandamana.
 
Yaani ni ujinga wa Hali ya juu unakufa mijitu inaponda raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…