Wewe ambaye huna mawazo kama yangu umefanya nini kwenye hii nchi
Andika Uzi mwingine tuelezane tuliyofanya.
Unadhani kila mtu ni zwazwa kama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ambaye huna mawazo kama yangu umefanya nini kwenye hii nchi
Naona mmekuja na gia ya kutia hofu watu
Even wenyewe hawataki wapiganiwe. Wanataka mjipiganie, wkt vijana wa kemya na bangladesh wanahangaika hawakuwa na mwanasiasa akiwaongoza, mpaka leo hakuna mwanasiasaKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania lissu au mbowe aingie ikulu itakua ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Umefanya nini taja sio kelele hapa wewe ni nyumbu muoga piaAndika Uzi mwingine tuelezane tuliyofanya.
Unadhani kila mtu ni zwazwa kama wewe?
Wewe umefanya nini mpaka sasaEven wenyewe hawataki wapiganiwe. Wanataka mjipiganie, wkt vijana wa kemya na bangladesh wanahangaika hawakuwa na mwanasiasa akiwaongoza, mpaka leo hakuna mwanasiasa
Walipigana wenyewe,, sasa wewe endelea kuamini mwanasiasa atakueletea mabadiliko
Wewe Umefanya nini mpaka Sasa ambae huna hofuNaona mmekuja na gia ya kutia hofu watu
Wewe Umefanya nini mpaka SasaKwani Kuna aliyekufata nyumbani kwenu na kukuomba uandamane?
Kama bado unafikiri, harakati za kuitoa CCM madarakani, zinazofanywa na chadema, ni kwa ajili ya maslahi Yao binafsi, basi ujinga wako ni karne ijayo.Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania lissu au mbowe aingie ikulu itakua ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Wewe Umefanya nini kupambania tanzaniaKatiba ya mwaka 1977 iliandikwa na watu 3 wakati huko Tanzania tulikuwa milioni 9 kwa hiyo sio lazima wewe uwe sehemu ya mapambano
Utumwa na ukoloni ulishakwisha.Tuna uhuru wetu wa 1961....Kama kila mtu angekuwa na mawazo kama yako utumwa na ukoloni ungekuwa ungalipo.
Bure kabisa!
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania lissu au mbowe aingie ikulu itakua ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania lissu au mbowe aingie ikulu itakua ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
UzalendooooKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania lissu au mbowe aingie ikulu itakua ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Sawa wewe umefanya nini mbona mpaka Sasa kwakua umeyaona hayoKama bado unafikiri, harakati za kuitoa CCM madarakani, zinazofanywa na chadema, ni kwa ajili ya maslahi Yao binafsi, basi ujinga wako ni karne ijayo.
Chadema sio maraika, lakini CCM ni mashetani, nchi inaendeshwa na kikundi cha majizi watupu, tunahitaji Uhuru kama wa Kenya, South Afrika,
Swali Dogo kwako, kule Kenya, richa ya kuwepo kwa katiba mpya,Uhuru wa Maha kama, vyombo vya habari, lakini serikali,inateka, inaua,haki inanunuliwa, salsa jiulize hapa kwetu ambapo hakuna hizo haki, rushwa IPO kiasi gani, mtoto wako atasoma kayumba, chuo, mkopo atakosa, akimaliza ajira hakuna, na passport ya kusafilia apati, unaminywa kila Kona, ki afya, kwa kipato, kwa elimu, ili usifurukute,
"Ukikaa kwa muda mrefu karibu na mavi,ile harufu unaizoea, inakuwa haikupi shida tena"
Wabongo wamenusa Sana mimavi ya CCM, mpaka sasa hawaoni harufu, inabidi MTU wa nje awashitue,
Basi kichwa kimefyatukaSijui
Nilichofanya mpaka Sasa ni kukuuliza wewe kama Kuna mtu alikufata nyumbani kwenu kukuomba uandamaneWewe Umefanya nini mpaka Sasa