Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Huwa nacheka sana....[emoji1787]

Mtu kama komredi Mbowe hivi ni lini aliwahi kuandamana?!!

Lini watoto wao waliwahi kuandamana ?!!

Yaani akina Rodney waache kula bata huko Ulaya na Afrika kusini waje kuandamana na kina Saidi wa Manzese ?!! [emoji44][emoji44]

Maandamano ni ujinga mtupu[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hahaha yaani ni vitukoo
 
Nyerere angesema hivyo nadhanj leo ungekuwa mke wa mzungu! Watu wapumbavu sana, leo babu yako angefufuka huenda angekuchapa viboko, uko tayari mjukuu wako ateseka kwa kukosa maisha bora, elimu bora, afya bora kwa sababu ya ubinafsi wako. Watu kama nyie ni hasara kwa taifa la leo na kesho.Siku mtoto wako atakapokufa kwa kukosa bima ya afya ndiyo utaelewa!
Wewe Umefanya nini ambaye sio mbinafsi
 
Ukiona uko tayari kufa kwaajili ya mwanasiasa yoyote ili yeye aingie madarakani ujue we ni ng'ombe
 
Back
Top Bottom