Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Sasa hayo ndio mapambano aisee kumbe mambumbumbu mpo wengi🤣🤣🤣
Nimehamasisha wenzangu na mimi nikiwepo kushinikiza serikali ili bima ya afya ya mtoto irudishwe au kusaidia kiongozi anayetaka uongozi mwenye nia hiyo aweze kushinda
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
kabisa akina sonko kagame museven traure wamepambana wenyewe halafu limtu linabeba vijana kwenye macosta wakafe foolish death, kuna kijana na wani yake ya form six wakamtanguliza mbele kafa kifo kibaya wao wakasepa, kila mtu apambane kivyake
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Utumbo wa bata huu, ila uko tayari kumuita mwanamke mwingine "Mama" wakati mama yako mzazi hujawahi hata kumtumia Mia....hii sio laana kweli?
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
we tulia sisi tuko mstari wa mbele kabisa
 
Back
Top Bottom