kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Empty set ,hujui hata kusoma nilichoandika?Wewe Umefanya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Empty set ,hujui hata kusoma nilichoandika?Wewe Umefanya nini
Wewe Umefanya nini hii nchi boya weweEmpty set ,hujui hata kusoma nilichoandika?
SawaHuna ulichokifanya
SawaSawa
Wewe mwenyewe unaogopa kuandamana kipi kibadilike?!Amano haijabadili kitu Sasa
Sasa si ndio nimekuambia sifanyi huo ujinga kumbe unaweza kuandamana Kwa amani na hamna jipya ni kupoteza mda tuWewe mwenyewe unaogopa kuandamana kipi kibadilike?!
Siasa Tz amna n taass kama zinge za biasharaKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Hatari sanaSiasa Tz amna n taass kama zinge za biashara
Waandamane watu 1000 halafu usione ghasia za wizi ,kuchoma moto mali za watu na machafuko si kweli....Kuandamana kwa AMANI ni HAKI yako USIOGOPE,lakini EPUKA GHASIA WIZI KUCHOMA MOTO MALI ZA WATU na MACHAFUKO!.
Mbona Maasai wameandamana kwa AMANI na wamesikilizwa?!Sasa si ndio nimekuambia sifanyi huo ujinga kumbe unaweza kuandamana Kwa amani na hamna jipya ni kupoteza mda tu
[emoji7]Sasa si ndio nimekuambia sifanyi huo ujinga kumbe unaweza kuandamana Kwa amani na hamna jipya ni kupoteza mda tu
CHADEMA tumeandamana maandamano ya AMANI hakuna hata Nzi aliyejeruhiwa.Waandamane watu 1000 halafu usione ghasia za wizi ,kuchoma moto mali za watu na machafuko si kweli....
Hamna mlikua mmekusanyana mnatembea barabarani tu huku mnapiga stori sababu hakuna jipyaCHADEMA tumeandamana maandamano ya AMANI hakuna hata Nzi aliyejeruhiwa.
Naunga mkono hoja cdm wakishika madaraka watakua wakatili zaidi ya hawa waliopo,wadini,wakanda n.k,kule x utabishana na nape,makamba,sufiani matravota na wengineo wengi,ila awatokutukana na wala kukublock,sasa mguse yule mmm au maria sarungi utapigwa block ya hatari,binafsi cdm ninaemkubali ni boni yai tu ndio yupo social tena ana kura yangu akigombea ubunge jimbo la ubungo maana uchaguzi kura nitakayopiga ni ya mbunge tuKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Kabisa mkuuNaunga mkono hoja cdm wakishika madaraka watakua wakatili zaidi ya hawa waliopo,wadini,wakanda n.k,kule x utabishana na nape,makamba,sufiani matravota na wengineo wengi,ila awatokutukana na wala kukublock,sasa mguse yule mmm au maria sarungi utapigwa block ya hatari,binafsi cdm ninaemkubali ni boni yai tu ndio yupo social tena ana kura yangu akigombea ubunge jimbo la ubungo maana uchaguzi kura nitakayopiga ni ya mbunge tu
HOLY SHIT!Hivyo vyote unavyovitaja hapo vilipatikana kwa maandamano?? Ukisikia kubwa jinga ndio wewe
Hatuhitaji takataka kama wewe usiyejitambuaKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.