Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Naupenda uana harakati kazi yangu iwe kususila wajinga waandamane huku binafsi nawacheki kwenye darubine wakila kichapo, maana dunia imeumbwa kwa werevu na wapumbavu! Kila mmoja na kazi yake!
Hahahaha mkuu ndio kazi hiyo unayapa moyo yenyewe yakapigwe
 
Hamna mlikua mmekusanyana mnatembea barabarani tu huku mnapiga stori sababu hakuna jipya
Swali ni je tumepigwa risasi?! Kama unavyodai kwenye huu uzi wako?!

Kama wewe ni "Mwanaume Suruwali" basi kaa huko huko UVCCM wachq sisi "Simba Dume" tuandamane.
 
Umesema kweli na unaungwa mkono na vijana wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…