Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Hakuna njia mtakayo weza kufanya kuzuia tsunami inayo kuja kuwazoa.
 
Je Tumbo lako unaweza?
 
Kwenye mapambano wanaopambana ni wachache lakini wanaonufaika na matokeo ya kitu kilichopambaniwa ni wengi,wenye kupambana subiri wapambane wewe subiri kula matunda yatakayotokana na wapambanaji.
 
Una tekwa afu wahuni wana kutaftia twitter kwa kupost afu baadae wana kusahau dadeki 😅😅
 
Sijui🤣🤣
Unatueleza ujinga wako sisi unataka tukusaidie vipi?

Hivi hata hamuoni kuwa vitisho vyote mnavyoweza kuwatishia waTanzania havina nguvu tena ya kuwatisha wasidai haki zao kwa njia yoyote wanayoweza kuitumia?

Utakuja vipi hapa kusambaza vitisho kwa watu kama akili yako haiko sawa!
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Uliwahi ombwa uandamane kwa ajili ya mmoja wapo uliowataja?
 
Wewe Umefanya nini
Mengi kabisa. Nimetoa donation mara nyingi kusaidia harakati za kutetea utawala bora. Nimeshiriki kwenye demonstration za kumpinga nduli Magufuli wakati anaua raia wasio na hatia. Na sasa naangalia namna ya kuunganisha nguvu ili kinara wa utekaji na mauaji Mafwele na wenzake wapate stahiki yao.
 
Unatueleza ujinga wako sisi unataka tukusaidie vipi?

Hivi hata hamuoni kuwa vitisho vyote mnavyoweza kuwatishia waTanzania havina nguvu tena ya kuwatisha wasidai haki zao kwa njia yoyote wanayoweza kuitumia?

Utakuja vipi hapa kusambaza vitisho kwa watu kama akili yako haiko sawa!
Sijui🤣🤣🤣🤣
 
Mengi kabisa. Nimetoa donation mara nyingi kusaidia harakati za kutetea utawala bora. Nimeshiriki kwenye demonstration za kumpinga nduli Magufuli wakati anaua raia wasio na hatia. Na sasa naangalia namna ya kuunganisha nguvu ili kinara wa utekaji na mauaji Mafwele na wenzake wapate stahiki yao.
Mbona hatuoni mabadiliko yeyote wewe ni muoga tu hakuna ulilofanya🤣🤣🤣
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Nimekuelewa vizuri sana
Kama kuingia road sisi gen z tutaingia na sababu zetu, na sio kwa sababu hao wapumbavu wawili wanaotaka tuingie road
 
Maandamano ni lini tuingie barabarani?
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
here is where your IQ Ended
 
Back
Top Bottom