Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Kwa maelezo yako nimeona biashara inayokufaa kwa sasa ni Kutafuta Mume kama kiini cha barua yako kinavyoeleza.
 
pole sana ni kweli unahitaji rafiki,baba,au mama mzoefu na maisha,ambae alishaona mengi,alishapitia mengi,alishakutana na mengi.Rafiki huyo,mshauri huyo,mmoja wapo ni mimi.Karibu iwapo utapenda
 
Nitaft3 nikupe wazo
 
Marafiki wako mtaani kwako hapo kuwa kama traffic wasimamishe wakuliwaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…