Siwezi kusahau siku niliyofukuzwa kazi nikiwa baa

Sisi watu wa IT sio waongeaji sana na tunaziogopa kweli mahakama
Teh teh

Ova
IMG-20221114-WA0028.jpg
 
Sisi watu wa IT sio waongeaji sana na tunaziogopa kweli mahakama
Waswahili wanasema "woga wako ndio umasikini wako" mkuu,hapo ulikuwa una vuna pesa ya maana sana kama hawakukupa nafasi ya kujieleza ndugu yangu ila ndio imeshatoka hivyo.
Sisi watu wa IT sio waongeaji sana na tunaziogopa kweli mahakama
 
Pole sana mkuu, babu yangu aliwahi kufutwa kazi ya u RC mkoa wa Kilimanjaro na JK Nyerere kwa style inafanana na hiyo.
Kipindi hicho alinisimulia kulikua na Bar za viongozi, sasa usiku alienda kupiga mitungi kwenye hiyo bar/club ya serikari Moshi.
Saa 2 usiku hua walikua wanazima mziki inawekwa taarifa ya habari kutoka RTD ndipo akasikia kua Rais amemtema kazi , kabla ya kupata barua wala kupigiwa simu.
Pole yake sana ila nafasi za uteuzi hazina guarantee muda wowote unaondolewa tofauti na ajira zingine, ila nimekuelewa mantiki yako mkuu.
 
Ni kweli mkuu. Ila mzee alizingua hata ningekua mimi ningemtimua kazi tu.
Dah! Una maanisha mzee ndio alikuwa na makosa! Kama ndivyo, natambua kwenye maisha ya binadamu lolote laweza kutokea bila kutegemea na wakati mwingine ukiwa na watu unaidhani ni rafiki au ndugu wa kweli kumbe ndio wanakupoteza,maisha yana siri nzito sana.
 
Alipita na mmoja ya mtoto wa boss wake. (Inavosemekana) Boss akapata habari you can imagine alivofura.
 
Dah! Una maanisha mzee ndio alikuwa na makosa! Kama ndivyo, natambua kwenye maisha ya binadamu lolote laweza kutokea bila kutegemea na wakati mwingine ukiwa na watu unaidhani ni rafiki au ndugu wa kweli kumbe ndio wanakupoteza,maisha yana siri nzito sana.
Yan mk
Daaah huu upele ungenikuta mimi ungekuta tunapambana kisheria mpaka sasahivi.

Ila ile taarifa ingenitetemesha sana.. Kufukuzwa kazi sio mchezo jamani.. isikiege kwa wengine hapo ukute una familia inakutegemea
Yan Mkuu inaumiza sana stress zinakuwa had miguun. Sema kisheria utapoteza muda na Hela nying mno. Taasisi binafsi wakiamua kukukomoa watatumia njia zote upotee
 
Ila hapo ungepeleka shauri kwa kamishna for arbitration... halafu ina maana wamekuwa wame ku terminate bila notice.

Ingakuwa issue rahisi sana maana si ulikuwa na mkataba wako wa kazi.

Hapo labda ungetafuta mwanasheria wa kawaida kukusimamia, ila mara nyingi kwenye kesi za ajira mwajiriwa unakuwa na nguvu sana.

IKijirudia tena issue kama hiyo.. uende mahakamani mkuu... usimuachie MUNGU kabisa, hatukuja duniani kuwa wanyonge
 
Umempa ushauri mzuri sana
 
Back
Top Bottom