Siwezi kusahau siku niliyofukuzwa kazi nikiwa baa


Kwa hivyo ulikuwa na 1.2m cash bar..
Basi ulikula deal mkuu sema hapa unatuzuga tu..
Pia tusiwe tunatembea na cash nyingi unaweza kuwa targeted
Hapana aisee sikula deal meku kumbuka hizo ni tarehe za mwisho wa mwaka
 
Pole mkuu,afadhali umepata pengine pa kujiegesha
Afadhali yake.

Mimi pia nilipata mtego. Niliitwa chemba. Jamaa akaongea na Mtu wa tatu. Akaniambia nimsaidie Kupiga kazi flan tutaongea kikubwa. Nikasoma mchezo ni kama mtego.

Wkt huo Nina biif na boss halmashauri..haka kaboss kamchongo ofsi ya mtendaji kata kakanishawishi nifanye Ile deal. Nikawaza Sana. Nikaamu nipotezee..

Sasa sijui kama utatokea msala aseme ni Mimi
 
Daaah huu upele ungenikuta mimi ungekuta tunapambana kisheria mpaka sasahivi.

Ila ile taarifa ingenitetemesha sana.. Kufukuzwa kazi sio mchezo jamani.. isikiege kwa wengine hapo ukute una familia inakutegemea
Siyo lzm uwe na familia lzm uweweseke hata Kama umejipanga kimaisha lzm utakuwa na mawazo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umgetupa mrejesho baada ya kufukuzwa kazi ulisota kwa muda Gani?

Mkeo na watoto walibaki kuwa nawewe?


Walokufukuza kazi Bado wapo na mnaonana nao?


Wanasemaje?

Kampuni Bado lipo??

Linaendeleaje? Limekua kiuchuki au limeshuka?


Endeleza. hii story🤣
 
Mengine naweza kuyaamini lakini kwenye konyagi ndogo 3, k vant kubwa moja na Castle 11 huo ni uongo wa hovyo sana
 
all i know is that life must go on, regardless of the situation!
 
Raisi aliye madarakani unaenda kumshtakia wapi😀😀😀
 
Wewe jamaa daah..hamkukumbuka condom,mtoto wenu ameanza shule?
 
Ulikosea sana,vipi ungefanywa vibaya?
 
Pole sana....... Nakumbuka last year 2024....... Baada ya Mimi na boss kushindwana

Akanikuta siku moja nipo nearest to her offer...... akawa kama anasimamisha gari.... Then akaondoka....

Anafika getini kamuuliza mlinzi huyu G katoka hapa, mlinzi akasema hapana... Na ukweli nilikuwa humo

Sasa Cha kushangaza asubuhii hiyo before kukutana accidentally alishanipigia nambake sikuifuta mpk leo ninayo


Lakini nashangaa anavyouliza how nimekuja pale, hazijapita siku ana ni text WhatsApp...... Kuna mtu naomba umwelekeze kufanya bank reconciliation nikamwambia ok

Juzi juzi naona dogo ananichek nimsaidie ishu zake madam boss ana kwaroz na JAMAA WA KODI......


Maboss sijui wanajionaga vipi Ila i was wishing her all the best to her company! sina chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…