Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Wanaume baadhi akili uwa tunazipeleka Maliwato aisee.. huu utopolo unaoandikwa humu unaweza hisi kinacho zungumzwa Ni Cha maana Sana.. Mbwembwe nyingiii Kumbe linalozungumziwa hapa Ni tendo la dakika Chache tu Tena lisilo na faida kiuchumi labda kidogo kiafya ( Theoretically)

Hivi Wanaume tutakuja kustuka lini kutoka kwenye huu utumwa wa Mwili na kuanza kuishi kwa purpose.. Kuudhihirisha uungu wetu kwa kufanya Yale ya Muhimu zaidi na sio ya kujistarehesha kwa Uraibu wenye hasara kedekede kuliko faida..
Yaan jinsi Mabinti wanavyo tuchora kwenye huu Uzi aisee mpaka aibu mazee..
Mara moja moja Kama unavyofunga kula (Ramadhan ama kwaresma) hebu Jaribu kujizuia kuwaza Ngono, au Waza kwa kina Jambo Hilo ufikirie faida yake na hasara zake then utaelewa kwann aliumbwa Adam Kisha akafuata Hawa..

Tusipo badirika Mapema Kama Wanaume wanaojielewa Mwisho hautakua Mzuri kabisa.. yaan mpaka mtu unazeeka Hakuna la maana ulilofanya kutokana na zawadi ya uhai Mungu aliyokupa. Dah! baadhi ya Wanaume tumekua na Tabia za Makahaba mpaka jina la ukahaba limetupendezea kabisa..
Najua wengi watasema kwa Mwanaume rijali lazima uwaze haya lakini ushawahi kuwaza Ni Mara ngapi kwa siku unabanwa na haja lakini pia Ni Mara ngapi unawazia tendo la kwenda haja na eneo husika! (Utagundua ni Kujiendekeza tu)
Kuna haja ya Wanaume kujitafakari......
 

Wee achana na ile starehe ....
 

huu ujinga hurudi na majuto mengi mno...
 
Hajasoma chuo huyo au ni hutu tutoto twa siku hizi. Sijui twenyewe tunaitaje hayo maeneo. Ukimwambia revo square pia unamchanganya.hawezi akapajua.sisi wakongwe ndo tunafaham.muulize anapafaham Mdegree?

kuna petition ya kuukata ule mti...umefanya vijana wengi sana kuliwa pasipo kujielewa..wawindaji wengi huwa wanaweka kambi pale
 
Kwakwelii Sisi watu weusi tunapenda Sana Ngono basi tuu

Mungu atusaidie kwakweli.

Maana Kwa siku unawaza Ngono maranyingi kuliko hata mawazo chanya
 
Wewe ni mlegevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…