Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Sasa hata nikiliwa sioni wewe unaumia nini....maana kwa mwanamke ni jambo la kawaida....shida ni wewe unayejiita baharia huwezi twambia humu kuwa huwa unaliwa.ndo maana unaona hata sisi wanawake tutaogopa kusema hivyo....umeliwa shosti....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na utaendelea kuliwa.

Sio lazima aseme, baharia huwa anaelewa mapema tu uhalisia. Hio danganya toto ya kuwa P ni kwa amateurs tu! 😎
 
Mwenzangu ... Kwani huwa watu wa namna hii hata wanaelewa? Utakuta ni katoto tu ka form five....
Mi ndio ni katoto ka form 5 ila kama una mda leo na hutojali njoo mitaa ya 5N kuna jambo nataka unifundishe mamaa!
 
Khaaah....nyie huwa mnanuka boxer na soksi... Wala..siwezi mimi kaa karibu na katoto ambako hata hakana ujazo wa kutosha....

Mi ndio ni katoto ka form 5 ila kama una mda leo na hutojali njoo mitaa ya 5N kuna jambo nataka unifundishe mamaa!
 
Usiongee sana, kama nawewe unataka kunila kimasihara karibu sana af uzuri leo niko town...Dhana zote za kivita ninazo, tutaanza na SD Bioline kabla ya yote then mengine yatafuata.
 
Khaaah....nyie huwa mnanuka boxer na soksi... Wala..siwezi mimi kaa karibu na katoto ambako hata hakana ujazo wa kutosha....
Boxer ninazo mpya kabisa na sio za kariakoo zile za mafungu hivyo wala usihofu kuhusu hilo. Ujazo haupimwi kwa story we fika mitaa ya 5N kisha nicheki.
 
Sasa hapo ujinga wako nini? Si ulikua una hisia nae? Au wewe huna haki ya kuonesha hisia zako kwa mtu ambae una hisia nae?
Bidada hizi zama sio za kufa na tai shingoni, ukimuelewa mfate mnamalizana, mambo ya kusubiri kutongozwa yalikwisha karne ya 20 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…