Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Na chadema waangalie ile pesa ya ruzuku inatumikaje maana hata makao makuu utadhani ofisi ya kata tofauti na Hela inayotolewa lazma tufocus na hili pia
 
Hivi ni nani anayesema Umoja wa vijana kuna ufisadi? nataka kumjua kwa sababu tunataka pia mtu huyo hiyo aseme na matatizo mengine ya akina Lugumi au Escrow. Maana huyo atakuwa ni mtu ambaye system inamsikiliza na kumwamini sana. Kama anaweza kusema leo na kesho TAKUKURU wakaingia kazini, basi ni mtu anayeaminika sana. Wengine wakisema wataitwa wachochezi, waongo na watu wanaokosoa kila kitu.
 
atatumbua sana ila kuna sehemu hatazigusa kabisa wala kuzizungumzia,moja wapo hilo na uuzwaji nyumba za serikali hutakuja hata kumsikia akizungumzia kokote
Ushawahi kumuona nesi anajichoma sindano ya tako
 
Wakati huo ajiandae fisadi lowassa...mwaka huu hauishi bila kutiwa pingu
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Well said mkuu, ccm ni virus hatari Sana.
 
Naomba kujuzwa ikiwa mh sixtus mapunda atabainika amefisadi je vipi kuhusu hatma ya ubunge wake?
 
lowassa hamna wa kumkamata maana akipelekwa mahakaman na kikwete naye lazma aende maana wote ni kitu kimoja
 
Wizi wa UVCCM haujaanza na Six Mapunda. Kwa taarifa yako, kama TAKUKURU wataamua kuchunguza yale mafaili ya UVCCM kwa undani sana basi hata akina Nchimbi, Nape, Makonda, Ridhiwani na Bashe wataguswa, kwa sababu wametokea huko huko. Hivi umewasahau wale waliotoa tamko kwamba raisi hawezi kutoka kaskazini? Kuna mtu alikua nyuma yao, nae ataguswa.
 
...mi bado naona wale wasiowapenda huko ccm ndio wanaoandamwa na kashfa....mfano mbona sijaona IPTL inachukuliwa na serikali??..pamoja na kukutwa na figisu za escrow!!....maigizo tu haya...wanashikwa watu wadogo wakati mijizi mikuu inatamba mtaani...
 
..."nahofu...nywele nyeupe, watu watakula"...
 
kamata peleka mahakamani mbn hadithi kila siku hapa kazi tu
 
peleka mahakamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…