Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Lugumi yuko wapi???
Lugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?
 
Hapo hakuna jipya zaidi ya kiini macho tu, wako wapi kina lugola?
 
mkuu:hivi kati ya Chadema na CCM Ni Nani Ana Dola?
 
Ni kweli hakuna fisadi atakayebaki salama isipokuwa Lugumi
Sipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakati
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…