Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

Mzee haya mambo ya uzalendo usiyaamini sana mara nyingi huwa ni kisingizio tu cha wao kushika dola na kutekeleza ajenda zao za siri. Uzalendo wa kweli ulikuwa kwanza kuzuia mabadiliko ya katiba, pili kama tayari wamepindua nchi waitishe uchaguzi vyama vingine vishiriki.
 
Wewe umtambue usimtambue ni nani wakati hata hawakujui na huna lolote la kuwafanya zaidi ya kujiumiza. Hata mimi sikutambui zaidi ya kutaka kiki kumbaff
 
Ndio mchakato wanaotaka kuanzisha sasa hivi. Kwa wakati tulio nao usitegemee jeshi kukaa madarakani kwa muda mrefu na serikali yoyote wanaounda ya mpito lazima ishirikishe wanasiasa raia.

Hakuna njia yoyote ya kuweza kuondoa utawala wa kiimla kama sio kwa mapinduzi ya kijeshi kwani wao madikteta ndio wamehodhi tume za uchaguzi, polisi, usalama wa taifa nk.
 
Mamady Doumbouya anaishi kama panya kujificha


Kafanya vizuri sana kuifuta katiba ya Guinea sababu ile ilikuwa in Linda Rais Sasa sababu kuifuta kuua Rais ruksa sababu hana katiba in atommlinda asishitakiwe au kupinduliwa kwa kuuuwa
Post yako haieleweki..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…