Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

Unafikiri Macky Sali wa Senegal alikuwa hamiliki vyote ulivyotaja? Wananchi wakiamua wameamua na wakikataa usiibe huibi
 
CCM haiwezi kutuletea kiongozi mwadilifu sababu magenge ya wahuni na majambazi yapo CCM
 
CCM haiwezi kutuletea kiongozi mwadilifu sababu magenge ya wahuni na majambazi yapo CCM
bora ccm hao chadema kuna muadilifu pale unavyoona ? Genge la wahuni tu , bora ccm kuna mambo wakirekebisha watakuwa sawa, magu alithubutu kwa kweli ingawa alichokosea alipitiliza hadi kubana wafanya biashara, ilitakiwa abane watumishi wa uma tu wafanyabiashara awaache wajiachie yeye ale kodi tu
 
Majangili lazima yajibane CCM
 
Hivi vyote havifui dafu mbele ya umma ukiamua, tatizo ni watanzania na siyo katiba
 
Mama amewaachia watu wapige watakavyo
Yeye kajichukulia bandari na ngorongoro, vita ni lazima

Alafu anataka tena 2025
Tumemwambia alete tume huru na katibapya analeta usanii ngoja apambane na mkono wa shetani
 
Maza anaitafuna nchi kupitia mapacha wa4(JK, Abdul, Rostam na Makamba)
 
Maza anaitafuna nchi kupitia mapacha wa4(JK, Abdul, Rostam na Makamba)
Mimi sidhani kama tatizo ni hao , haya madudu yanayotokea halmshauri ni ya kutisha na hatuoni hatua ikichukuliwa hilo ndio linalovunja moyo
Imagine jana mfanyabiashara arusha anamwbia makonda kalipa 21m serikalini ikaingizwa 3m tu , sasa hapo ni arusha tu vipi nchi nzima hali iko vipi? Na wahusika kila siku cag anawataja ila hatusikii hatua zikichukuliwa
 
DED kateuliwa na nani? si makada wa CCM
 
Unafikiri Macky Sali wa Senegal alikuwa hamiliki vyote ulivyotaja? Wananchi wakiamua wameamua na wakikataa usiibe huibi
Senegal Kuna wananchi, lkn Tanzania Kuna maiti zinazotembea. Unaona hiyo tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…