Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
Mmmh jaman...alikutenda kipi kikubwa ?? maana sio kwa hicho kipigo
 
Jamaa kauzu kweli
Nimewaza kwa kipigo hiko ndio kingenikuta mimi najiuliza sijui niwe nimefanya kosa gani hadi kupigwa hivyo. Kiukwel mwanaume anaepiga mimi siwezi mana najijua sina mabalaa ya kumfanya bwana anibutue hvyo vinginevyo mapenzi yaishe tu.
 
Wanaume wakigeuka ni hataree
 
Wanaume wakigeuka ni hataree
Kweli...lakini kupigwa jamani mimi hapana naomba Mungu isijenikuta na ndio maana mara zote huwa najitahidi sana kujishusha maugomvi siwezag ndio ikawe kipigo
 
[emoji1787]
[emoji477]️[emoji477]️[emoji477]️
 
[emoji477]️[emoji477]️
 
CEO wa ttcl, muda wa kulala huu unaanza kupiga story[emoji28][emoji28][emoji28]
 
kweli kinyume chake mama mchungaji nae kaliwa na kondoo wa mchungaji [emoji1787][emoji28][emoji38] balanced
 
Kweli...lakini kupigwa jamani mimi hapana naomba Mungu isijenikuta na ndio maana mara zote huwa najitahidi sana kujishusha maugomvi siwezag ndio ikawe kipigo
Kunguru mwoga uishi miaka mingi
 
Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
kikubwa usichome Moto Kama mwezako sijui kesi inaendelea na usije piga eneo baya ,adhabu zuri unakata kidole kila afanyapo kosa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] don't try at home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…