Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
Mmmh jaman...alikutenda kipi kikubwa ?? maana sio kwa hicho kipigo
 
Jamaa kauzu kweli
Nimewaza kwa kipigo hiko ndio kingenikuta mimi najiuliza sijui niwe nimefanya kosa gani hadi kupigwa hivyo. Kiukwel mwanaume anaepiga mimi siwezi mana najijua sina mabalaa ya kumfanya bwana anibutue hvyo vinginevyo mapenzi yaishe tu.
 
Wanaume wakigeuka ni hataree
 
Wanaume wakigeuka ni hataree
Kweli...lakini kupigwa jamani mimi hapana naomba Mungu isijenikuta na ndio maana mara zote huwa najitahidi sana kujishusha maugomvi siwezag ndio ikawe kipigo
 
Mwaka 2013 Hasira zake za kukuta message isiyoeleweka kwenye Nokia Asha 200 yangu akaanza kunipiga vibao vya mgongo namuangalia tu kila nikimpanga haelewi akaona aitoshi akaenda beba jiwe nje akaja kunirushia sebuleni lingenipata ningeshakuwa kilema au marehemu nikalikwepa likavunja kioo cha tv yangu kichogo ya aina ya JVC

Nilienda funga mlango nilichomfanya hatakaa asahau

Nb : nilijifunza kutodeti tena na mademu wa uswahilini kwetu Manzese

[emoji1787]
[emoji477]️[emoji477]️[emoji477]️
 
Sijawahi kumpiga mke wangu....Ndoa ya miaka 8 sasa, plus dating kama wapenzi miaka 5, jumla miaka 13.
Huwa nampiga kwa ile fimbo ya nyama tuliyobarikiwa nayo wanaume.
Huwa akinikosea namuacha kwanza, namuangalia tuu... Baadae nikimkamata namsukumizia kipande cha nyama kwa hasira na spidi ya hatari, hadi anatoa machozi na anaomba msamaha mwenyewe, anasema nisamehe mume wangu sirudii tena.

[emoji477]️[emoji477]️
 
Wengi wenu mnaponzwa na mdomo. Tena wengine utawasikia.... KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI NIPIGE... huku anakutingishia manyonyo akitaka yaguse kidevu chako na mikono ipo kiunoni na mdomo umebinuliwa kwenda juu na wowowo linatingishwa na huku mguu mmoja umekata kona

CEO wa ttcl, muda wa kulala huu unaanza kupiga story[emoji28][emoji28][emoji28]
 
kweli kinyume chake mama mchungaji nae kaliwa na kondoo wa mchungaji [emoji1787][emoji28][emoji38] balanced
 
Kweli...lakini kupigwa jamani mimi hapana naomba Mungu isijenikuta na ndio maana mara zote huwa najitahidi sana kujishusha maugomvi siwezag ndio ikawe kipigo
Kunguru mwoga uishi miaka mingi
 
Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
kikubwa usichome Moto Kama mwezako sijui kesi inaendelea na usije piga eneo baya ,adhabu zuri unakata kidole kila afanyapo kosa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] don't try at home
 
Back
Top Bottom