Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Haina haja ya kupiga, ujinga ukizidi unafukuza kama mbwa,unatoa masaa kumi na mbili nisione sura yako kwangu na usitumia watoto wetu kuni blackmail shetani mkubwa wewe siwezi kuishi na wewe.
Mbona utajikuta unazeeka ukiwa mpweke sana.Hao viumbe wana midomo na akili za kipeke yao.Yahitaji mahesabu sana.
 
Naunga mkono hojaaaa...... Chukua soda kwa Mangi broo
 
Ha ha haa
 
eti mwanamke anapigwa na nyama ya chini - broo kwani ww ndo wa kwanza kumla mbususu yake , watu washakula kabla hujamuoaa na wamenjunja wenye ukuni mkubwa kuliko kibamia chako..

ww kama umepata mwanamke mstaarabu tuliza pumbu sisi tuliyopata vichaa acha tuwapige

unakuta mtu anasema anayepiga mke hana akili mbona mama yako alikuwa anapigwa na baba yako

Tusijitie ni bora kuliko wengine ...ukipata mke bora tulia sisi tuache huku
 
Ha ha haa,atajua hajui
 
Umekuja kwa hasira sana bro. Relax kwanza, kunywa pepsi ya baridiiii....!!
Haya tuendelee na hoja sasa, tatizo sio ukubwa wa uume bro...
Ni zaidi ya hapo, kuna mambo mengi; Unaitumiaje mboo yako? Ishu ingekua ni ukubwa unadhani wanawake wangekua wanasagana bro? Kitu cha pili una connection kiasi gani na mwanamke wako? Wenzetu wanawake sex inaanzia kwenye ubongo, do you treat her like a queen? Sasa unamto.mba kifo cha mende mmeangaliana, anaona sura ya mtu ambae huwa anampiga mateke na mangumi, hizo stimu na connection zitokee wapi bro?
Endelea kutumia mangumi na mateke bro hivyo hivyo...
Ambao tulielewa hili game hatutumii mateke wala mangumi, na tunanyenyekewa balaa. Tatizo hasira pipa, akili kisoda.
Halafu tunatofautiana sana bro, miaka yote niliyoishi na wazazi wangu, sijawahi kuona hata siku moja baba na nama wakigombana au kupigana....!!HATA SIKU MOJA..!! Sijawahi shuhudia scenario ya aina hiyo.
Poleni nyie ambao mliwahi kushuhudia hilo, i can imagine how traumatic it is... Ndio maana na nyie mmeendeleza kuwapiga wake zenu kama baba zenu walivyokua wanawapiga mama zenu huku mkishuhudia. Pole. Ila usi assume ndio maisha ya kila mtu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…