Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Watumwa wa wanawake
Endelea kuwaza hivyo hivyo, mimi na enjoy maisha nanyenyekewa na wife hafurukuti, na sijawahi kumrushia ngumi wala kofi wala teke.
Wewe endelea na bondia style, ni maisha uliyochagua pia, na yanakusaidia, its ok.
Ila usidhani kwamba hiyo ndo njia pekee, na kwamba wasiyoitumia njia uliyoichagua wewe wamekosea au ni watumwa. There are many ways to slaughter the cat.
 
Naujua wa mwenye kisirani aliyenuna haswa alafu ukamla na kisirani chake ugomvi hua uisha kwa njia ya raha na utamu...

Anyways ngoja waje kutoa miongozo...
Mkuu ni mgumu moyo,anataka mpaka apige ndo ale mbususu
 
Hakuna kupiga mwanamke, unamla na mnuno, mgomo au kisirani chake hivyo hivyo...

Baada ya hapo anacheka cheka na kope zina mbwenza bwenza imeisha hiyo...
Hahahaha...haki nacheka Mimi mbavu zangu
 
Back
Top Bottom