Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Endelea kuwaza hivyo hivyo, mimi na enjoy maisha nanyenyekewa na wife hafurukuti, na sijawahi kumrushia ngumi wala kofi wala teke.
Wewe endelea na bondia style, ni maisha uliyochagua pia, na yanakusaidia, its ok.
Ila usidhani kwamba hiyo ndo njia pekee, na kwamba wasiyoitumia njia uliyoichagua wewe wamekosea au ni watumwa. There are many ways to slaughter the cat.
Kama kuna njia nyingi za kumchinja paka, kwanini mmoja alichagua njia tofauti na yako unaona anakosea..!?
 
Kupigana kwene mahusiano sio jambo jema ingawa kuna wanawake wana midomoooo kwa mwanaume inahitaji nguvu hasa kujizuia kupiga
 
Unakunja ngumi au kibao kumchapa nacho mwanamke kabisa...

Wakati anajiandaa kwa shari, beba peleka unapoona sawa, toa alichovaa fanya yako alafu mambo yake unamuachia mwenyewe...
Ha ha haa,na hasira zimemwisha
 
Umekuja kwa hasira sana bro. Relax kwanza, kunywa pepsi ya baridiiii....!!
Haya tuendelee na hoja sasa, tatizo sio ukubwa wa uume bro...
Ni zaidi ya hapo, kuna mambo mengi; Unaitumiaje mboo yako? Ishu ingekua ni ukubwa unadhani wanawake wangekua wanasagana bro? Kitu cha pili una connection kiasi gani na mwanamke wako? Wenzetu wanawake sex inaanzia kwenye ubongo, do you treat her like a queen? Sasa unamto.mba kifo cha mende mmeangaliana, anaona sura ya mtu ambae huwa anampiga mateke na mangumi, hizo stimu na connection zitokee wapi bro?
Endelea kutumia mangumi na mateke bro hivyo hivyo...
Ambao tulielewa hili game hatutumii mateke wala mangumi, na tunanyenyekewa balaa. Tatizo hasira pipa, akili kisoda.
Halafu tunatofautiana sana bro, miaka yote niliyoishi na wazazi wangu, sijawahi kuona hata siku moja baba na nama wakigombana au kupigana....!!HATA SIKU MOJA..!! Sijawahi shuhudia scenario ya aina hiyo.
Poleni nyie ambao mliwahi kushuhudia hilo, i can imagine how traumatic it is... Ndio maana na nyie mmeendeleza kuwapiga wake zenu kama baba zenu walivyokua wanawapiga mama zenu huku mkishuhudia. Pole. Ila usi assume ndio maisha ya kila mtu..!!
Hakuna uhusiano wowote kati ya kufanya mapenzi vizuri, na kutuliza tabia chafu. Mwanamke akiwa na tabia chafu, hata umkaze kwa mpini wa chuma, haisaidii.

Na mwanamke akiwa na nidhamu na maadili ya kueleweka, hata ukiwa khanithi bado atakusitiri. Usitake kutuaminisha mambo ya kwenye sinema!
 
Ni mawazo yako, na ni sawa pia, wala hujakosea mkuu.
Mimi nimezungumzia ugomvi wa kimahusiano kupishana maneno, kukerana pale mnapokua wapenzi/wanandoa ambavyo ndivyo hupelekea wapenzi au wanandoa wa kiume kuwapiga wenza wao.
Lakini pia, hakuna kiasi cha kipigo ambacho kitamfanya mwanamke mwenye tabia chafu awe na tabia nzuri, hata umpige mateke kama ya Chuck Norris, tabia chafu haitatoka pia..!!!
 
Unadhani walioweka adhabu ya viboko mashuleni ni wajinga? Kuna wanaoweza kuwahi shule bila kulazimishwa kwa kutambua umuhimu wa wao kuwahi. Kuna wanaowahi shule kwa kuogopa viboko. Alafu kuna kundi la mwisho ambalo hawaoni umuhimu wa kuwahi shule, hata kwa viboko.

Hivyo hivyo mpaka kwenye ndoa. Kuna wanaojiheshimu kwa kutambua umuhimu wa kujiheshimu, kuna wanaojehishemu kwa kuogopa reactions za wenza wao, na kuna ambao hawajiheshimu iwe kwa makofi au kukazwa vizuri.

Anyway, kila mtu afanye anavyoona inamfaa. It's the end that justifies the means.

NB; i don't support violence of any kind, except where necessary!
 
Mimi huwa sio kupiga huwa nafanya tukio la mangamizi pona ya mwanamke akimbie tu, I use every missile around. Luck enough am done na hivi visodokwembe
 
Na wanaume wasiojiheshimu kwenye ndoa je mkuu?Na wao wapigwe mangumi/mateke? Au wasiojiheshimu kwenye ndoa ni wanawake tu?
 
Mimi huwa sio kupiga huwa nafanya tukio la mangamizi pona ya mwanamke akimbie tu, I use every missile around. Luck enough am done na hivi visodokwembe
Ha ha haa,kweli umetuchukia.VISODOKWEMBE! serious?
 
Back
Top Bottom