Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Lisemwalo lipo... muda wa kupiga mwanamke unautoa wapi wakati kila kiungo chake ni laini...Watamu ndio ila sababu kuu ni HUNA UWEZO/UBAVU HUO. Usijaribu utapigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisemwalo lipo... muda wa kupiga mwanamke unautoa wapi wakati kila kiungo chake ni laini...Watamu ndio ila sababu kuu ni HUNA UWEZO/UBAVU HUO. Usijaribu utapigwa.
Kama kuna njia nyingi za kumchinja paka, kwanini mmoja alichagua njia tofauti na yako unaona anakosea..!?Endelea kuwaza hivyo hivyo, mimi na enjoy maisha nanyenyekewa na wife hafurukuti, na sijawahi kumrushia ngumi wala kofi wala teke.
Wewe endelea na bondia style, ni maisha uliyochagua pia, na yanakusaidia, its ok.
Ila usidhani kwamba hiyo ndo njia pekee, na kwamba wasiyoitumia njia uliyoichagua wewe wamekosea au ni watumwa. There are many ways to slaughter the cat.
Tumsubiri bwana mkulaji aje kutoa muongozoToa muongozo...
Atakua anakutana na ngozi ngumu huyo 😜Lisemwalo lipo... muda wa kupiga mwanamke unautoa wapi wakati kila kiungo chake ni laini...
Wala hakuna kukosea kaka... Ila kuna machaguo tofauti ambayo pia kila chaguo linaendana na consequences zake.Kama kuna njia nyingi za kumchinja paka, kwanini mmoja alichagua njia tofauti na yako unaona anakosea..!?
Mpe muongozo akutane na vitu soft to touch...Atakua anakutana na ngozi ngumu huyo 😜
Wanakuja kumpa muongozoMpe muongozo akutane na vitu soft to touch...
Unakunja ngumi au kibao kumchapa nacho mwanamke kabisa...Ewalaa
Moja kati ya sababu za vipigo, ni midomo yenye maneno ya namna hii.Mwanaume anaempiga mkewe/mpenziwe amepungukiwa akili.
Ukifanyiwa hayo bado utaendelea kua na hasira?Ha ha haa,na hasira zimemwisha
Hakuna uhusiano wowote kati ya kufanya mapenzi vizuri, na kutuliza tabia chafu. Mwanamke akiwa na tabia chafu, hata umkaze kwa mpini wa chuma, haisaidii.Umekuja kwa hasira sana bro. Relax kwanza, kunywa pepsi ya baridiiii....!!
Haya tuendelee na hoja sasa, tatizo sio ukubwa wa uume bro...
Ni zaidi ya hapo, kuna mambo mengi; Unaitumiaje mboo yako? Ishu ingekua ni ukubwa unadhani wanawake wangekua wanasagana bro? Kitu cha pili una connection kiasi gani na mwanamke wako? Wenzetu wanawake sex inaanzia kwenye ubongo, do you treat her like a queen? Sasa unamto.mba kifo cha mende mmeangaliana, anaona sura ya mtu ambae huwa anampiga mateke na mangumi, hizo stimu na connection zitokee wapi bro?
Endelea kutumia mangumi na mateke bro hivyo hivyo...
Ambao tulielewa hili game hatutumii mateke wala mangumi, na tunanyenyekewa balaa. Tatizo hasira pipa, akili kisoda.
Halafu tunatofautiana sana bro, miaka yote niliyoishi na wazazi wangu, sijawahi kuona hata siku moja baba na nama wakigombana au kupigana....!!HATA SIKU MOJA..!! Sijawahi shuhudia scenario ya aina hiyo.
Poleni nyie ambao mliwahi kushuhudia hilo, i can imagine how traumatic it is... Ndio maana na nyie mmeendeleza kuwapiga wake zenu kama baba zenu walivyokua wanawapiga mama zenu huku mkishuhudia. Pole. Ila usi assume ndio maisha ya kila mtu..!!
Ni mawazo yako, na ni sawa pia, wala hujakosea mkuu.Hakuna uhusiano wowote kati ya kufanya mapenzi vizuri, na kutuliza tabia chafu. Mwanamke akiwa na tabia chafu, hata umkaze kwa mpini wa chuma, haisaidii.
Na mwanamke akiwa na nidhamu na maadili ya kueleweka, hata ukiwa khanithi bado atakusitiri. Usitake kutuaminisha mambo ya kwenye sinema!
Unadhani walioweka adhabu ya viboko mashuleni ni wajinga? Kuna wanaoweza kuwahi shule bila kulazimishwa kwa kutambua umuhimu wa wao kuwahi. Kuna wanaowahi shule kwa kuogopa viboko. Alafu kuna kundi la mwisho ambalo hawaoni umuhimu wa kuwahi shule, hata kwa viboko.Ni mawazo yako, na ni sawa pia, wala hujakosea mkuu.
Mimi nimezungumzia ugomvi wa kimahusiano kupishana maneno, kukerana pale mnapokua wapenzi/wanandoa ambavyo ndivyo hupelekea wapenzi au wanandoa wa kiume kuwapiga wenza wao.
Lakini pia, hakuna kiasi cha kipigo ambacho kitamfanya mwanamke mwenye tabia chafu awe na tabia nzuri, hata umpige mateke kama ya Chuck Norris, tabia chafu haitatoka pia..!!!
Na wanaume wasiojiheshimu kwenye ndoa je mkuu?Na wao wapigwe mangumi/mateke? Au wasiojiheshimu kwenye ndoa ni wanawake tu?Unadhani walioweka adhabu ya viboko mashuleni ni wajinga? Kuna wanaoweza kuwahi shule bila kulazimishwa kwa kutambua umuhimu wa wao kuwahi. Kuna wanaowahi shule kwa kuogopa viboko. Alafu kuna kundi la mwisho ambalo hawaoni umuhimu wa kuwahi shule, hata kwa viboko.
Hivyo hivyo mpaka kwenye ndoa. Kuna wanaojiheshimu kwa kutambua umuhimu wa kujiheshimu, kuna wanaojehishemu kwa kuogopa reactions za wenza wao, na kuna ambao hawajiheshimu iwe kwa makofi au kukazwa vizuri.
Anyway, kila mtu afanye anavyoona inamfaa. It's the end that justifies the means.
NB; i don't support violence of any kind, except where necessary!