- Thread starter
- #21
Haya endeleenu kutumikaFYI:Huko kutumika kwa Makonda kila mwanaCCM anakutaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya endeleenu kutumikaFYI:Huko kutumika kwa Makonda kila mwanaCCM anakutaka.
Huyu k.enge tangu Makonda ateuliwe kurudi kwenye siasa anahangaika sana. Siku 2 za mwanzo aliandika thread kama 20 hivi za Makonda kumbe anampa promo bila kujua. Per Diem anazolipwa Makonda kwenye kuzunguka kwake sio mchezo, bado mshahara na marupurupu mengine. Na hapo bado miaka 2 ya uchaguzi, anatokea fala mmoja anaropoka eti anatumika..Mtu aliyekwaa hadi uPM kwenye huko "kutumika" ndo unasema alitumika?
Unajua hata pension na marupurupu yake lakini!
Huko kwingine wanakotumika na hawaambulii hata chochote utasemaje sasa?
FYI:Huko kutumika kwa Makonda kila mwanaCCM anakutaka.
Huyo ni lofa tu,ukifuatilia threads zake za awali alikuwa anatumia sana neno " Sukuma Gang".Huyu k.enge tangu Makonda ateuliwe kurudi kwenye siasa anahangaika sana. Siku 2 za mwanzo aliandika thread kama 20 hivi za Makonda kumbe anampa promo bila kujua. Per Diem anazolipwa Makonda kwenye kuzunguka kwake sio mchezo, bado mshahara na marupurupu mengine. Na hapo bado miaka 2 ya uchaguzi, anatokea fala mmoja anaropoka eti anatumika..
Tafuta pain killers utulize maumivu. Maana povu limekutoka hatari.Huyu k.enge tangu Makonda ateuliwe kurudi kwenye siasa anahangaika sana. Siku 2 za mwanzo aliandika thread kama 20 hivi za Makonda kumbe anampa promo bila kujua. Per Diem anazolipwa Makonda kwenye kuzunguka kwake sio mchezo, bado mshahara na marupurupu mengine. Na hapo bado miaka 2 ya uchaguzi, anatokea fala mmoja anaropoka eti anatumika..
Una undugu na m.mawia!?,akili zenu zinafanana kabisa. IQ yako ni ndogo sana, kama ni mwanaume na una mke, nakuhakikishia lazima unagongewa tu. Wanaume wa akili kama zako huwa mmelegea sana.Anatukanwa Makonda wewe unaumia. Wewe utakuwa unatiwa na Makonda
Mwaka 1985 wakati mwalimu nyerere anang'atuka madarakani na kuingia mzee Mwinyi malecela hakuwa na nguvu hiyo unayoisema na nafasi ya Waziri mkuu aliipata ndugu warioba.CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.
Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni nguvu ya Malecela iliyomfanya Mwinyi akawa rais na hatimaye Malecela kulamba uwaziri mkuu (nitawapa kisa kizima siku nyingine).
Malecela na Mwinyi hawakupendwa sana na Nyerere, hotuba zake (Nyerere) zilijaa vijembe kwa rais Mwinyi na Malecela. Ilienda hivyo mpk Malecela akaundiwa zengwe la OIC na kung'atuliwa uwaziri mkuu.
Malecela alitupwa pembezoni mwa ulingo wa siasa na huku akilalama kuwa amekuwa akitumika kama Tingatinga kuwachongea wengine barabara za kisiasa.
Mwingine ni mzee Mangula. Huyu alitupwa nje ya siasa mara tu baada ya Kikwete kuukwaa urais (kwann ? Nitawapa kisa kizima siku nyingine). Mzee wa watu akarudi kwao Iringa kulima nyanya. Mpk pale walipoona (muhula wa pili wa awamu ya 4) chama kinataka kuwafia mkononi ndipo mzee Mangula akaenda kubembelezwa na kurudishiwa nafasi yake chamani.
Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama lkn baadaye yeye na sukuma gang wengine watatupwa kama toilet paper.
sipo upande wowote kwasababu naona wote wapo kwa ajili ya maslahi yao tu si ccm wala chadema wala cuf kwasababu kila siku hali ni ileile tu mtaani...mfano kijiji ninachotoka mimi maji ni kero mno ndoo shiling 200 tena yanapatikana mbali sana ukija upande wa madarasa nako ni shida halafu atokee mtu aanze kutueleza eti ccm imefanya hili na hili wakati sisi hatuyaoni hayo kijijini kwetuUna undugu na m.mawia!?,akili zenu zinafanana kabisa. IQ yako ni ndogo sana, kama ni mwanaume na una mke, nakuhakikishia lazima unagongewa tu. Wanaume wa akili kama zako huwa mmelegea sana.
Chadema ina hujumiwa na Mbowe kwa kulamba asali!! Hivi sasa anasuka hujuma ya kukichafua chama kwa kuwasamehe wasaliti “ covid 29” ili warudi chamani kabla ya uchaguzi mkuu!Siyo vyama vyote. Chadema ni wapinzani wa dhati.
Hovyo kabisa, kumbe lengo ni kumsema Bashite. Nilidhani unaleta habari za watu kutumiwa na kuachwa huko CCM.CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.
Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni nguvu ya Malecela iliyomfanya Mwinyi akawa rais na hatimaye Malecela kulamba uwaziri mkuu (nitawapa kisa kizima siku nyingine).
Malecela na Mwinyi hawakupendwa sana na Nyerere, hotuba zake (Nyerere) zilijaa vijembe kwa rais Mwinyi na Malecela. Ilienda hivyo mpk Malecela akaundiwa zengwe la OIC na kung'atuliwa uwaziri mkuu.
Malecela alitupwa pembezoni mwa ulingo wa siasa na huku akilalama kuwa amekuwa akitumika kama Tingatinga kuwachongea wengine barabara za kisiasa.
Mwingine ni mzee Mangula. Huyu alitupwa nje ya siasa mara tu baada ya Kikwete kuukwaa urais (kwann ? Nitawapa kisa kizima siku nyingine). Mzee wa watu akarudi kwao Iringa kulima nyanya. Mpk pale walipoona (muhula wa pili wa awamu ya 4) chama kinataka kuwafia mkononi ndipo mzee Mangula akaenda kubembelezwa na kurudishiwa nafasi yake chamani.
Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama lkn baadaye yeye na sukuma gang wengine watatupwa kama toilet paper.
COVID 29 hawa unawajua wewe.Hivi sasa anasuka hujuma ya kukichafua chama kwa kuwasamehe wasaliti “ covid 29” ili warudi chamani kabla ya uchaguzi mkuu!
Covid 19 si ndio sub set ya covid 29!! Unajifanya huwajui ili hali unajinasibu kuwa wewe Chadema damu damu!COVID 29 hawa unawajua wewe.