Huyu ni nani?Siyo mpenzi sana wa Soka lkn itoshe tu kusema kwamba he is the greatest.
Respect!
View attachment 2445935
Kushinda ukiwa na sisi.CHAGUZI NI MBILI; Uchague Kushinda Ukiwa Na Sisi AMA Ushuhudie Sisi Tukishinda 🇦🇷
View attachment 2445945
Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is the greatest.
Respect!
View attachment 2445935
Daah umefika mbali sana, world cup before messi zilikua upuuzi? Kila era na msisimko wake na watu wakeKushinda ukiwa na sisi.
Kombe la dunia bila Messi ni upuuzi
Huo ndo uchaguzi wa busara... unachagua furaha tuu if you cannot beat them join them🧘♂🧘♂🧘♂🧘♂Kushinda ukiwa na sisi.
Kombe la dunia bila Messi ni upuuzi
Huyu ni nani?
The Greatest Of All TimeCHAGUZI NI MBILI; Uchague Kushinda Ukiwa Na Sisi AMA Ushuhudie Sisi Tukishinda [emoji1033]
View attachment 2445945
Daah umefika mbali sana, world cup before messi zilikua upuuzi? Kila era na msisimko wake na watu wake
Nilivokua nikiwasikia watu wanavyomlinganisha Messi na Pele nilijua huyo messi ni bonge la mchezaji sasa jana nikasema nimtazame dhidi ya Croatia nimemuona ni mchezaji wa wakawaida sana sio kama anavyokuzwa na vyombo vya habari au mashabiki yani hata PARK JI SUNG hamfikii nilichogundua ni kwamba kuna kampeni maalum ya kumkuza huyu mchezaji.
Aah kumbe ndo huyu.
ukiona mtu anaanza kutukana badala ya kuleta hoja jua hana hoja.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana