Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is the greatest.

Respect!

1670966344476.jpeg
 
Kushinda ukiwa na sisi.

Kombe la dunia bila Messi ni upuuzi
Huo ndo uchaguzi wa busara... unachagua furaha tuu if you cannot beat them join them🧘‍♂🧘‍♂🧘‍♂🧘‍♂
 
Daah umefika mbali sana, world cup before messi zilikua upuuzi? Kila era na msisimko wake na watu wake
images (5).jpeg

Nimeona nikuwekee picha hizi mbili... kama mashabiki walisema hivi kwa Origi... yeye kusema hivyo yupo sawaa tuu maana mpira ni ushabiki
images (6).jpeg
 
Nilivokua nikiwasikia watu wanavyomlinganisha Messi na Pele nilijua huyo messi ni bonge la mchezaji sasa jana nikasema nimtazame dhidi ya Croatia nimemuona ni mchezaji wa wakawaida sana sio kama anavyokuzwa na vyombo vya habari au mashabiki yani hata PARK JI SUNG hamfikii nilichogundua ni kwamba kuna kampeni maalum ya kumkuza huyu mchezaji.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana

Back
Top Bottom