Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Hakika timu Christian mnatakiwa kunywa sumu tu,hakuna namna
 
Dunia haitaisha wapuuzi, badala kuzingatia mechi watu hua wanaenda kutafuta moment zao na kuendekeza mihemko yao. Alvarez ndio aliekua Hero wa Argentina kwa mechi ya jana.
Kwa vigezo gani mkuu????
 
Kwangu pele ni bora, ila messi sio mchezaji wa kawaida.

Kwa kizazi hiki cha kina ronaldo cr7, kawaacha mbali mnooo, cr7 alijitahidi kujiweka karibu yake, ila si daraja lake,...

Andunje hana mpinzani kizazi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…