Siyo Samia pekee, hata mahakama imejipanga kushughulikia wakosoaji

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini

  1. Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na kuweka rehani maisha ya Watanzania
  2. Mahakama kuonesha wazi wazi kupokea maelekezo kutoka tawi la Executives ambapo maamuzo ya kesiza kisiasa anayetoa hukumu ni DPP na mahakama inagonga muhuri wa hizo hukumu.
  3. Teuzi za majaji zinatokana na utiifu wao kwa CCM ndo maana hata wenyeviti wa Tume ya Uchaguzi ni washiriki wakubwa wa kubaka chaguzi zote kuu.
  4. Mahakama imeruhusu jeshi la polisi kufanya matendo ya kihalifu na kijinai kwenye eneo la mahakama. Watu wanapigwa, wanatekwa katika viunga vya mahakama tena mbele ya kamera lakini Mahakama imekubaliana na hali hiyo kimyakimya
  5. Mahakama ina chuki na Lisu BINAFSI hivyo mkakati wa kuitumia taaluma ya ujaji inaendelea kushuhudiwa kutendwa kuanzia Commital hadi proceedings huku Mahakama ya Rufaa ikijipanga ku-cement hukumu iwapo atabambikwa hukumu ya GUILTY kutoka Mahakama Kuu
  6. Mahakahama haikwepi hizi tuhuma kutokana na uwazi wa matendo yake kupendelea na kusimama na serikali hata kwenye kamasi style cases. Kumbukeni submissive statement ya aliyekuwa Jaji Mkuu Ibrahim Juma kuwa Mahakama inasimamia na kulinda matakwa ya rais ili afanyekazi zake kwa utulivu. Hawajali tena kama matakwa hayo ni enforces dissapearances, extra-judicial killings na sabottage kwa Katiba, sheria na misingi ya Haki za Binadamu.

Niwaombe wahojaji wenzangu tuorodheshe hapa matukio,matendo na mwenendo wa mahakama ya Tanzania ngazi zote yanayorandana na uporaji wa haki,demokrasia na ukiukwaji wa ubinadamu nchini

Amandla
 
nonsense 🐒
 
Kiujumla nchi kwa sasa imeoza. Hakuna mahali tunaweza kujivunia.
 
Kwenye nchi hii, Bunge na Mahakama ni extensions za Mhimili wa Executive!
 
Sikilizeni, kuupoteza utawala ni kupoteza mnyororo woote ikiwemo mahakama na mahakimu magumashi. Kwa hiyo hata wao hawawezi kukubali mtu aliyewashikilia adondoke.

Waliofikiria namna ya kuwateua majaji waliona hili. Jaji wa Kenya hana cha kupoteza kwa Rutto
 
Back
Top Bottom