Kwa nini niseme uongo? Siwezi kujua kazi imefikia asilimia ngapi maana mimi si mtaalam, ila kwa kibarua changu angalau mara mbili kila wiki nakwenda Soga ilipo camp kubwa ya Yapi Markezi kwa lot one (DSM-Moro) naona kazi inaendelea.Endelea kuota, ila hata ukiamka baada ya 2025 ujenzi bado utakuwa ni 75%.
Ukitaka andika kwa Kiingereza au Kiswahili, sio kuchaganya changanya. Ni dalili ya kutokujiamini kamanda.Imekutisha hiyo critical thinking?
Jitahidi uipate maishani!
Membe hajambo?Ukitaka andika kwa Kiingereza au Kiswahili, sio kuchaganya changanya. Ni dalili ya kutokujiamini kamanda.
Simjui huyo jamaa kwa hiyo siwezi kukujibu.Membe hajambo?
Ha ha watu mbona mnajiingiza chaka kiurahisi!Simjui huyo jamaa kwa hiyo siwezi kukujibu.
Wewe unanijua?Ha ha watu mbona mnajiingiza chaka kiurahisi!
Humjui Membe wewe?
Kwa nini niseme uongo? Siwezi kujua kazi imefikia asilimia ngapi maana mimi si mtaalam, ila kwa kibarua changu angalau mara mbili kila wiki nakwenda Soga ilipo camp kubwa ya Yapi Markezi kwa lot one (DSM-Moro) naona kazi inaendelea.
Sehemu kubwa reli tayari.
Samahanini kama mimi ndo ntakuwa nimeona vibaya, hiyo picha ni ya mwaka gani na nchi gani?
Mkuu sina haja ya kukujua na ndio uzuri wa JF.Wewe unanijua?
Mkuu mimi sipingi hiyo miradi mizuri kwa nchi yetu, lakini kama gazeti la Daily News lilivyoonyesha vipande vya SGR havina maendeleo, hili ndo linanipa ukakasi.MATAGA kimya hakuna tena ngonjera za SGR,STEGOLAZ wala TANZANITE BRIJI.
Ukiondoa nyasi hizi utasababisha mmomonyoko hivyo nguzo za reli zitaanguka, hata hivyo reli haiko chini iko juu ambako hakuna nyasi.
JIWE fedha zimekata na hii KOONA inamtemesha NDOANO,Utalii Chalii,PAYE NEI,IMF/WB wamempa UPPERCUT za CHEMBE KIDEVU lazima akae!!!Mkuu mimi sipingi hiyo miradi mizuri kwa nchi yetu, lakini kama gazeti la Daily News lilivyoonyesha vipande vya SGR havina maendeleo, hili ndo linanipa ukakasi.
Na hakuna hata mradi huo utakaokamilika. Labda ije serikali nyingine itakayokuwa na strategy.Mkuu mimi sipingi hiyo miradi mizuri kwa nchi yetu, lakini kama gazeti la Daily News lilivyoonyesha vipande vya SGR havina maendeleo, hili ndo linanipa ukakasi.
Asante mkandarasi wa kiwango cha fosi akaunti!Ukiondoa nyasi hizi utasababisha mmomonyoko hivyo nguzo za reli zitaanguka, hata hivyo reli haiko chini iko juu ambako hakuna nyasi.
JIWE fedha zimekata na hii KOONA inamtemesha NDOANO,Utalii Chalii,PAYE NEI,IMF/WB wamempa UPPERCUT za CHEMBE KIDEVU lazima akae!!!
Kwa nini basi unaniuliza kuhusu Membe?Mkuu sina haja ya kukujua na ndio uzuri wa JF.
Ila ninachojua ni uwezo wako wa kushindwa kueleza kwa nini kipande hiki cha reli hakikamiliki..
Una tetea status quo.