toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Ohoo mitaa yangu hiyo ya kunduch aiseeeKweli mkuu, nipo Bara Beach watu wanakula bata hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo mitaa yangu hiyo ya kunduch aiseeeKweli mkuu, nipo Bara Beach watu wanakula bata hapa...
Kila mradi akiondoka alieuanzisha nao unakufa kama ilivyokufa ChatoHiyo SGR vepeee
Kutafuta na kupata ni vitu viwili tofautAfu maskini watamsaidia nn.na hao maskini ndo wataishi milele?? Kaka tafuta hela utafirwc bila hela
Mbona una mawazo ya kishirikina.Hayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,...
Hizo pesa Bora angegawia masikini tu ..
zip ngapi?, kumi na ngapi?Wengine kama mimi, wanaishia kuzihesabu tu...😂😂
Wamezuia barabara ili wapige picha hiyo ni nguvu ya pesa pia
Ukikosa isiwe sababu yankutosifu kupata.kaka niamin Pata Pata pataKutafuta na kupata ni vitu viwili tofaut
[emoji1787][emoji1787] jamaniUko na picha tuone?
Watu hawatafuti maisha ama utajiri kwa ajili Yao tu, Bali kizazi chao kuhakikisha kinakua na maisha mazuri hapa duniani.Hayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,...
Hizo pesa Bora angegawia masikini tu ..
Kwanini hao masikini wasitafute zao?Hayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,...
Hizo pesa Bora angegawia masikini tu ..
Maskisini hawataisha katika nchiHayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,...
Hizo pesa Bora angegawia masikini tu ..
Labda n kipengele chake kutafutia maskini na sio uzao wake.Maskisini hawataisha katika nchi
Hoja ya kinyonge sana hiiHayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,...
Hizo pesa Bora angegawia masikini tu ..
Sawa na aliye juu mgojee chini.Hoja ya kinyonge sana hii